Soko la Tegeta Nyuki lateketea kwa moto

Babumawe

JF-Expert Member
Sep 12, 2014
2,556
2,558
Soko la Tegeta Nyuki linawaka moto muda huu. Magenge, maduka na vibanda vinaungua si mchezo aisee Mungu atunusuru na haya majanga.

Chanzo cha moto huo inasadikika kuwa ni hitilafu ya umeme
Inst-image-24.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usiku wa Manane huwa na mambo mengi sanaa
Wengine wana kufa na kuna wanaozaliwa.

Hasara iliyoje hii?
Mali iliyochumwa kwa miaka inaenda kuteketea ndani ya sekunde daah poleni sanaa mliofikwa na huo mkasa.

Ila hakuwepo hata nabii ambaye angetabiri hiyo Ajali?

Kuna haja kitengo cha maafa kiwe kinawapa hata kifuta machozi
 
Poleni sana ndg maana si jambo rahisi hasa kwa hali ya maisha na uchumi kwa ujumla na wale wenye mikopo yaan daaah..!
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom