Soko la Tegeta Nyuki lateketea kwa moto

Nafikiri sasa ni wakata serikari iweke mifumo ya fire fighting katika haya masoko kama fire hydrant itasaidia kuokoa mali kabla haijateketea yote

Sent using Jamii Forums mobile app
UNAJUA KIBO COMPLEX IKO WAPI
PALE KUNA ULTIMATE ZA ZIMAMOTO
KAULIZE KWANN AZIKUSOGEÀ
UJUE HARAMU ITALIWA NA HARAMU

N DK 5 WANGESHAFIKA SOKONI..
RELAX KIJANA MAKARATASI AYÀPIGIKI SIKUHIZI I
WATU WANA NDOA TATU
INABIDI WANANCHI WAWE RISKTAKER MAISHA YA WATU YAENDE

KILAKITU CONTROL NO WANAIBA WAPI.LABDA KEKI NA MAZIWA YA OFISINI
 
UNAJUA KIBO COMPLEX IKO WAPI
PALE KUNA ULTIMATE ZA ZIMAMOTO
KAULIZE KWANN AZIKUSOGEÀ
UJUE HARAMU ITALIWA NA HARAMU

N DK 5 WANGESHAFIKA SOKONI..
RELAX KIJANA MAKARATASI AYÀPIGILI SIKUHIZI INABIDI WANANCHI WABEBE RISKTAKER MAISHA YA WATU YAENDE

KILAKITU CONTROL NO WANAIBA WAPI.LABDA KEKI NA MAZIWA YA OFISINI
Kibo ndio ofisini kwangu napajua nje ndani hakuna gari ya zimamotoinayopaki hapa ni askari wa ultimate wanalinda ATM na askari wa kawaida tu wanalinda NMB na SumaJKT wanalina CRDB.Gari ya zimamoto ya Ultimate inapaki pale oilcom(Skanska) na nyingine pale azania petrol station.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwahiyo hao zimamoto wanaokaa pale skanka.. wameshindwa kwenda pale kwaharaka ... au ??
 
Dah poleni Sana Wana tegeta nlishawai kuishi maeneo ya kibo complex ...
Kibo ndio ofisini kwangu napajua nje ndani hakuna gari ya zimamotoinayopaki hapa ni askari wa ultimate wanalinda ATM na askari wa kawaida tu wanalinda NMB na SumaJKT wanalina CRDB.Gari ya zimamoto ya Ultimate inapaki pale oilcom(Skanska) na nyingine pale azania petrol station.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi hakuna namna hawa wenye biashara rasmi kuwa na bima za majanga kama haya.

Juzi wamama wa Makoroboi Mwanza walikuwa wanalia kama wamefiwa!
 
Back
Top Bottom