Soko la SIDO (Mwanjelwa - MBEYA) linateketea kwa moto sasa hivi

Wadau nimepigiwa simu sasa hivi kwamba soko maarufu la Mwanjelwa, mkoani Mbeya aka Jiji la Mbeya, eneo la SIDO karibu na uwanja wa ndege, sasa hivi linaungua moto. Chanzo hakijajulikana. Hii itakuwa ni mara ya pili baada ya lile la kwanza kuungua miaka michache iliyopita. Mwenye habari au aliye karibu na tukio atujulishe tafadhari. Nawasilisha
 
Endelea kutupasha mkuu ukijibu maswali haya:-
Moto umeanza saa ngapi ?
Chanzo Chake ni nini ?
Umeunguza vibanda vingapi ?
Hasara iliyopatikana.
Utueleze pia jitihada za kudhibiti moto zilikuaje maana kuna kuchelewa Zimamoto ama kuja bila maji hii mekua ikitokea sana.
Natanguliza pole za dhati.
 
daaah! fire wako mtoni hapa wanajaza maji kwenye gari lao, ila pampu wanayotumia mhhh!! kama wanajaza kwa ndoo vile
 
Chanzo cha moto hakijajulikana lakini inasemekana ni hitilafu ya umeme


Nimeacha kazi... na kulog in kwa ajiri ya hii taarifa.... imekua AJABU saana kua ndani ya Mwaka or two kama sikosei.... Hilo soko ni la tatu Kuungua... niko eneo la tukio.... INASIKITISHA Wizi, majonzi, na kuteketea kwa MALI..... Dah! Magari yamepark kibao kukusanya MALI sio zao.... Sad. Sad. Sad.
 
Jaman Tanzania hatupumui! Hatujaponesha maumivu ya zanzbar,mbeya tena,polen kina mwakipesile,tusekile,nk. Na waTz wote.
 
wana jf hivi sasa nipo soko kuu la mwanjelwa mbeya ambalo miaka 3 iliyopita liliwaka moto
hivi sasa linawaka moto tena, hivi nitaendelea kuwaleteeeni habari zaidi

View attachment 37338

mwaka huu tunalo. Nini maana yake matukio haya? Mbona yapo mfululizo tena ukingoni mwa mwaka?

There is a wish, some body must grant it
 
Vp je ni eneo lipi la sido au maduka yaliyopembezoni mwa soko linalo jegwa.mana hapa mi hapa nilipo nahis kuhalisha mana tumbo linauma umasikin jaman mbaya.naomba tujulishe mana hali yangu sio nzuri
 
mwaka huu tunalo. Nini maana yake matukio haya? Mbona yapo mfululizo tena ukingoni mwa mwaka?

There is a wish, some body must grant it
kaka hii ni hatari sanaaaaaaaaaa.ingewezekana watu wangejivua hadi utz
 
kikwete na wenzako ccm achieni nchi hii tupumue.. Mungu hawataki.. Madhambi mlotenda ni mengi mnoo.. Ondokeni tafadhalii.. Na mtubu.. Tunaumia wa TZ tusio na hatia
 
Nimeacha kazi... na kulog in kwa ajiri ya hii taarifa.... imekua AJABU saana kua ndani ya Mwaka or two kama sikosei.... Hilo soko ni la tatu Kuungua... niko eneo la tukio.... INASIKITISHA Wizi, majonzi, na kuteketea kwa MALI..... Dah! Magari yamepark kibao kukusanya MALI sio zao.... Sad. Sad. Sad.

Mungu wangu!magari tena kupakiza mali si zao!KUFA KUFAANA.
 
jamani mbona mbeya tuu matukio yamezidi? hili ni tukio la pili kutokea...............serikali watch out... ooooohhh my God paka wangu sijui kama wamepona
 
wakati wa kampeni MAKANISA YOTE NA MISIKITI YOTE YALIENDESHA IBADA YA KUMWOMBA MUNGU TUPATE RAISI MZURI NA ALIYECHAGULIWA NA WATZ ATAKAYEINGIA KWA UBAVU ASIWEZE KUITAWALA NCHI, JK kachakachua matokeo na matokeo yake ndio haya.
 
Back
Top Bottom