Morogoro: Basi la Abood lawaka Moto Roundabout Msamvu, leo Septemba 21, 2023

Sildenafil Citrate

JF-Expert Member
Jan 29, 2021
573
2,553
Basi la abiria, mali ya Kampuni ya Abood limewaka moto eneo la Msamvu, Roundabout ya Morogoro. Chanzo cha ajali hiyo bado hakijajulikana.

Taarifa za awali zinadai kuwa hakuna abiria aliyepoteza maisha, na moto umefanikiwa kuzimwa.

 
Back
Top Bottom