Soko la SIDO (Mwanjelwa - MBEYA) linateketea kwa moto sasa hivi

free masonry still a lot to come....be closer to jesus crist...he is the only solution.
 
police wamewagonga virungu hamna tena watu kama watatu wamegongwa na magari mmja kafa papopapo.
 
Dah tv za kibongo bwana badala ya kutuonesha hyo breaking newz ya moto mby wao wana2nesha jumong, wengine maigzo ya kiswahli, wengne waislamu wanaongea Ili mradi vituko tu
 
983831966.JPG


534398637.JPG


375625906.JPG


2019285_orig.jpg
 
Sio matatizo ya moto tu, ila pia na ajali ya ndege.
Kuna thread ilituma siku nyingi sana ikielezea kuwa kuna uhusiano wa karibu sana kati ya masoko kuwaka moto na ajali za ndege. Juzi ndege imeanguka, leo soko linaungua.www.jamiiforums.com/habari-na-hoja-mchanganyiko/96661-soko-likiungua-mbeya-ndege-zinaanguka.html

Bujibuji uko sahihi kabisa
2005 december ilianza soko la mwanjelwa halafu ikaja kuanguka ndege iliyombeba waziri akukweti
2010 ilianza ndege iliyokuwa inapeleka mgonjwa dar baada ya kuanguka ikaja soko la uhindini
2011 ilianza ndege ya maafisa wa kapunga sasa tena soko la mwanjelwa


isije ikawa kuna kitu kama bermuda triangle jamani
 
hakuna element ya ushirikina zaidi ya udhaifu mkubwa katika usimamizi wa halmashauri yetu wa kuona soko kama lile haliachwi likijengwa hovyo na pasipo kusipesfy aina ya item za kuuzwa hapo, mfano ni mapipa yaliyokuwa na mabaki ya mafuta kushika moto na hatimaye kulipuka

Hilo soko lilikuwa linauza vitu vikavu, vya plastki, nguo, mafuta ya alizeti na kulikuwa na ghala la alizeti hapo hapo.

Kuna sehemu ya kupika vyakula humo ndani.

Watu wakifunga kazi hakuna anayeangalia kama ni safe kufanya hivyo na hakuna element inayoweza kuleta madhara wakati soko limefungwa.

Vibanda vimejengwa kienyeji mno, watu kupishana ni vigumu, kwa hali hiyo hata shughuli za uokozi haziwezi kuwa za haraka na za ufanisi.

Kikosi cha uokoz ( tanzania nzima ) hakiko prepared most of the time wanacheza draft na last card hawana drills na hawana mbinu mpya.

Kikosi cha uokozi hakijafanya juhudi za dhati kuwaelimisha watu jinsi ya kukabiliana na dharula, hapo utaona labda baadhi ya watu walikuwa wanazima huo moto na maji ya kawaida wakati maji ni kichocheo cha moto. Wachache na au hakuna aliyejua kuwa mablanket na magunia matupu yangeweza kusupress huo moto

Umaskini ndo tatizo kubwa na la mwisho mwisho, wananchi wakiona moto kama huo kila mtu anaanza kujua kuwa tayari nina TV , redio, dish nk badala ya kufikiria ni jinsi gani wataokoa mali za watanzania wenzao, wao wananfikiri ni vipi wataongeza assets majumbani mwao bila kulipia.

Polisi nao ni issue kubwa sana, wako too mechanical, wakiona looting inaendelea wanakuja na mabomu ya machozi, waliyalipua hata wale wanaozima moto genuinely wanakimbia na kuacha moto unatawala.

Na sisi Watanzania tutaendelea kwisha, kuna ustaarabu fulani wa kufuatwa huwa hatutaki kuufuata, madhara yake ndo haya hatuna safety standards, kama zipo hakuna anayefuata, ni ujuaji wa kujinga kwa kwenda mbele.

Anyway miaka hamsini baada ya uhuru bado tupo gizani kabisa.
 
What a coincidence! Wanajamvi, Usiku wa kuamkia leo nimeota, jamaa aliyekopa fedha kwangu, ameamua kuhamisha bidhaa za thaman (dhamana) zilizokuwa kibandani kwake na kuamua kukilipua.

Niliposhtuka nikasema leo lazima nianze kufuatilia suala la bima kwenye mikopo ninayotoa. Jamani Bima is for real. Ndugu zangu tukatie bima biashara zetu, la si hivyo tutapoteza hata kile kidogo tulichokuwa nacho. Na hii ni kwa wajasiriamali wote (wakopaji na wakopeshaji).

Poleni, ndugu zangu mliopoteza mkate wenu wa kila siku

Kweli Bima ni jambo jema. Lakini katika mazingira ya kibanda chenye kuta za mabanzi na umeme wa kurushiana kubana bili ya umeme bima itakuwa aidha juu sana au watoa bima watasita. hata hivyo ni kweli usemavyo hata wale ambao wako kwenye mzingira mazuri ya biashara hawana utamaduni wa kukata bima. Pengine elimu ipite ikiwemo na ile wataalamu wana sema "lesson learnt"
Inasikitisha sana watu hata ile gharama yao ya uwekezaji katika soko la sasa pamoja na hasara ya mwaka juzi tu havijaweza rudiswa kibiashara leo mtu anapata pigo zaidi. Inaumiza sana na hasa ukichukukulia sababu zinazotolewa ni za harakaharaka na juu juu!!!
 
Kweli kazi ipo!

Mi nahisi hii mioto inayotokea Mbeya inasababu. Haiwezekani kila soko likawa linaungua na ukizingatia ni maeneo ambayo majengo yake yamekaa vibaya - Hayapo katika hali ya kuridhisha kwa jiji. Halafu immediately baada ya kuungua serikali inasema kwamba wafanyabiashara wasijenge tena na inaanza kujenga majengo yake mapya ambayo yapo katika standard!

Labda ndio mipango miji! Sijui

Poleni mliopoteza mali zenu.

Mkuu ni kweli. Lakini kama utapata bahati ya kutembelea Mbeya nenda pale Kabwe Stendi kuna jengo JIPYA kubwa sana la ghorofa katika uwanja wa "JUWATA"???. Jengo hilo pamoja na upya wake lina nyufa kibao na waya za umeme ziko nje nje condiuits kwisha kazi!!! Maduka yana vitu vya thamani sana katika cubicles zile. Mungu tusaidie!!
 
Back
Top Bottom