Kwa Hill mama ana stahili nimepitapo juuzi pake kaaba poa sanaWengi watashangazwa na huu uzi.
Nimekuwa nakosoa tena kwa lugha kali utendaji wa hovyo usiozingatia uhalisia hususani kuanzia awamu hii ya sita.
Tembea uone.
View attachment 2660495
Nilifanikiwa kutembelea soko la Machinga pale mji mkuu Dodoma, nilijihakikishia kuwa plan na ukamilishwaji wa mradi wa soko hilo la Machinga umefanikiwa kwa kiasi kukubwa.
Sijajua kwa undani soko hilo likikamilika linapaswa liweje lakini kwa kila Mtanzania na mgeni anayetembelea atakubaliana nami kuwa soko hilo linaweza kuwa la kisasa kwa afrika mashariki na kati.
View attachment 2660496
Nimekuta wamachinga wamepangwa vizuri, alama za wapi utakuta aija ya bidhaa unazotafuta zinaonekana kwa uwazi. Zimeandikwa kwa lugha yetu tukuka ya kiswahili ambapo ni uamuzi wa dhahabu. Usafi wa soko na hata huduma mbalimbali muhimu kwa machinga na wanunuzi zipo. Nimekuta lipo eneo limetengwa ndani ya soko la wamama kunyonyeshea, kuna ATM, store, vyoo vizuri. Maeneo ya baba na mama lishe yametengwa vizuri hata sehemu za nyama choma nje ya soko zinashawishi kwani meza za wateja ni za marble ambazo zinadumu kuliko mabati na mbao.
View attachment 2660501
Kelele ndani ya soko zimedhibitiwa ambapo wenye vipaza sauti hawaruhusiwi kufungulia sauti kubwa.
Kuhusu usafiri, soko limejengwa pembezoni mwa barabara kuu huku kukiwa na kituo kikubwa cha daladala kuelekea maeneo mengi ya jiji la dodoma. Kimsingi serikali imewatendea haki wamachinga kwani imeamua kuwaweka mahala sahihi ambapo haimlazimishi mteja kwenda umbali mrefu kutafuta petty goods. Nilimuuliza mmachinga mmoja wanalipa kiasi gani kwa siku akasema wanalipa Tshs 1,000 na akaenda mbali zaidi kuwa anaiona ni fair kwa sababu soko halikauki wateja pia alilinganisha na eneo lake la biashara pale Kariakoo aliloamuq kuachana nalo kwa sababu hata hrla wlizokuwa wanatoa kwa jiji hazikuzuia harassments za mgambo na kukithiri kwa uchafu.
Tofauti na majiji mengine kama Dar, wamachinga wanaondolewa maeneo potential kwao na kutupwa nje pembezoni mwa mji ambapo hata miundombinu kama vyoo, umeme , usafiri vinakuwa ni taabu.
Kwa mfano pale Kariakoo wangechukua mfumo wa soko la Machinga Dodoma hakika wangeweza kukidhi takwa la serikali kuwakusanya machinga na hata wakachangia pato la jiji kwa tozo watakazolipa. Serikali inaweza kuongea na NHC wakapanua eneo lile kulifanya liwe efficiency kwa biashara.
Pale Mbagala Zakhiem kuna utopolo umejengwa ambapo wamachinga hawatakuwa na nafasi zaidi ya wafanyabishara wenye msuli wa fedha.
Kwenye hili soko la Machinga Dodoma, tuungane kumpongeza Mama Samia kwa sababu amefanikiwa kuwapatia machinga sehemu stahiki kwa shughuli zao. Pia kama ikipendeza masoko kama haya yajengwe kwenye majiji hapa nchini na kuangalia pale Mbezi Mwisho kujenga soko la Machinga la kisasa ili kuongeza wigo wa nchi jirani kuja kununua bidhaa kama wanavyofanya Kariakoo na Mbagala.
Muwe na weekend njema
CC: Pascal Mayalla ChoiceVariable bubex_jr johnthebaptist emback Ne91cM Mzee Mwanakijiji Dr. Mariposa Dr Matola PhD FaizaFoxy Mohamed Said
Soko ni landmark lile.Pongezi nyingi sana Kwa Rais Samia alitoa pesa za COVID zikafanya kazi hii ku top up pesa za Jiji..
Pia Mtaka na yule alikuwa DED wa Dom walifanya kazi nzuri
Nilicho kipenda .mpangilio mzuri sana hewa saf pia wamejenga sehemu mzur ni raisi mtu kufikaWiki iliyopita nilipita Dodoma nikakaa siku mbili nikaamua kufika hapo sokoni.
Wamachinga wamebebwa
Kifo cha mtu siyo mwisho wa maisha ya waliobaki.Nilicho kipenda .mpangilio mzuri sana hewa saf pia wamejenga sehemu mzur ni raisi mtu kufika
Ila uku kwa mwenda zake ni aibu sana kuna wilaya inaitwa buchosha wilaya ngumu sana hii
Wengi watashangazwa na huu uzi.
Nimekuwa nakosoa tena kwa lugha kali utendaji wa hovyo usiozingatia uhalisia hususani kuanzia awamu hii ya sita.
Tembea uone.
View attachment 2660495
Nilifanikiwa kutembelea soko la Machinga pale mji mkuu Dodoma, nilijihakikishia kuwa plan na ukamilishwaji wa mradi wa soko hilo la Machinga umefanikiwa kwa kiasi kukubwa.
Sijajua kwa undani soko hilo likikamilika linapaswa liweje lakini kwa kila Mtanzania na mgeni anayetembelea atakubaliana nami kuwa soko hilo linaweza kuwa la kisasa kwa afrika mashariki na kati.
View attachment 2660496
Nimekuta wamachinga wamepangwa vizuri, alama za wapi utakuta aija ya bidhaa unazotafuta zinaonekana kwa uwazi. Zimeandikwa kwa lugha yetu tukuka ya kiswahili ambapo ni uamuzi wa dhahabu. Usafi wa soko na hata huduma mbalimbali muhimu kwa machinga na wanunuzi zipo. Nimekuta lipo eneo limetengwa ndani ya soko la wamama kunyonyeshea, kuna ATM, store, vyoo vizuri. Maeneo ya baba na mama lishe yametengwa vizuri hata sehemu za nyama choma nje ya soko zinashawishi kwani meza za wateja ni za marble ambazo zinadumu kuliko mabati na mbao.
View attachment 2660501
Kelele ndani ya soko zimedhibitiwa ambapo wenye vipaza sauti hawaruhusiwi kufungulia sauti kubwa.
Kuhusu usafiri, soko limejengwa pembezoni mwa barabara kuu huku kukiwa na kituo kikubwa cha daladala kuelekea maeneo mengi ya jiji la dodoma. Kimsingi serikali imewatendea haki wamachinga kwani imeamua kuwaweka mahala sahihi ambapo haimlazimishi mteja kwenda umbali mrefu kutafuta petty goods. Nilimuuliza mmachinga mmoja wanalipa kiasi gani kwa siku akasema wanalipa Tshs 1,000 na akaenda mbali zaidi kuwa anaiona ni fair kwa sababu soko halikauki wateja pia alilinganisha na eneo lake la biashara pale Kariakoo aliloamuq kuachana nalo kwa sababu hata hrla wlizokuwa wanatoa kwa jiji hazikuzuia harassments za mgambo na kukithiri kwa uchafu.
Tofauti na majiji mengine kama Dar, wamachinga wanaondolewa maeneo potential kwao na kutupwa nje pembezoni mwa mji ambapo hata miundombinu kama vyoo, umeme , usafiri vinakuwa ni taabu.
Kwa mfano pale Kariakoo wangechukua mfumo wa soko la Machinga Dodoma hakika wangeweza kukidhi takwa la serikali kuwakusanya machinga na hata wakachangia pato la jiji kwa tozo watakazolipa. Serikali inaweza kuongea na NHC wakapanua eneo lile kulifanya liwe efficiency kwa biashara.
Pale Mbagala Zakhiem kuna utopolo umejengwa ambapo wamachinga hawatakuwa na nafasi zaidi ya wafanyabishara wenye msuli wa fedha.
Kwenye hili soko la Machinga Dodoma, tuungane kumpongeza Mama Samia kwa sababu amefanikiwa kuwapatia machinga sehemu stahiki kwa shughuli zao. Pia kama ikipendeza masoko kama haya yajengwe kwenye majiji hapa nchini na kuangalia pale Mbezi Mwisho kujenga soko la Machinga la kisasa ili kuongeza wigo wa nchi jirani kuja kununua bidhaa kama wanavyofanya Kariakoo na Mbagala.
Muwe na weekend njema
CC: Pascal Mayalla ChoiceVariable bubex_jr johnthebaptist emback Ne91cM Mzee Mwanakijiji Dr. Mariposa Dr Matola PhD FaizaFoxy Mohamed Said[/USER
[/QUOTE]
Jakaya kikwete ni shetani zaidi ya magufuli
Piga picha hii njia naenda tokea mwaza kutoka sengerema uku kanda ya ziwa magu mlikuwa muna muonea tu hajapaendeleza sana labda chato tu pekoe mkuuKifo cha mtu siyo mwisho wa maisha ya waliobaki.
Tunaomboleza kisha tunasonga mbele.
Maendeleo ya kiuchumi ni vita isiyoisha
Mzee kuna sehemu ukienda mzee unakuwa kama unatoka kigomaCCM ndo wanamlaumu alipqpendelea kwao
Wengi watashangazwa na huu uzi.
Nimekuwa nakosoa tena kwa lugha kali utendaji wa hovyo usiozingatia uhalisia hususani kuanzia awamu hii ya sita.
Tembea uone.
View attachment 2660495
Nilifanikiwa kutembelea soko la Machinga pale mji mkuu Dodoma, nilijihakikishia kuwa plan na ukamilishwaji wa mradi wa soko hilo la Machinga umefanikiwa kwa kiasi kukubwa.
Sijajua kwa undani soko hilo likikamilika linapaswa liweje lakini kwa kila Mtanzania na mgeni anayetembelea atakubaliana nami kuwa soko hilo linaweza kuwa la kisasa kwa afrika mashariki na kati.
View attachment 2660496
Nimekuta wamachinga wamepangwa vizuri, alama za wapi utakuta aija ya bidhaa unazotafuta zinaonekana kwa uwazi. Zimeandikwa kwa lugha yetu tukuka ya kiswahili ambapo ni uamuzi wa dhahabu. Usafi wa soko na hata huduma mbalimbali muhimu kwa machinga na wanunuzi zipo. Nimekuta lipo eneo limetengwa ndani ya soko la wamama kunyonyeshea, kuna ATM, store, vyoo vizuri. Maeneo ya baba na mama lishe yametengwa vizuri hata sehemu za nyama choma nje ya soko zinashawishi kwani meza za wateja ni za marble ambazo zinadumu kuliko mabati na mbao.
View attachment 2660501
Kelele ndani ya soko zimedhibitiwa ambapo wenye vipaza sauti hawaruhusiwi kufungulia sauti kubwa.
Kuhusu usafiri, soko limejengwa pembezoni mwa barabara kuu huku kukiwa na kituo kikubwa cha daladala kuelekea maeneo mengi ya jiji la dodoma. Kimsingi serikali imewatendea haki wamachinga kwani imeamua kuwaweka mahala sahihi ambapo haimlazimishi mteja kwenda umbali mrefu kutafuta petty goods. Nilimuuliza mmachinga mmoja wanalipa kiasi gani kwa siku akasema wanalipa Tshs 1,000 na akaenda mbali zaidi kuwa anaiona ni fair kwa sababu soko halikauki wateja pia alilinganisha na eneo lake la biashara pale Kariakoo aliloamuq kuachana nalo kwa sababu hata hrla wlizokuwa wanatoa kwa jiji hazikuzuia harassments za mgambo na kukithiri kwa uchafu.
Tofauti na majiji mengine kama Dar, wamachinga wanaondolewa maeneo potential kwao na kutupwa nje pembezoni mwa mji ambapo hata miundombinu kama vyoo, umeme , usafiri vinakuwa ni taabu.
Kwa mfano pale Kariakoo wangechukua mfumo wa soko la Machinga Dodoma hakika wangeweza kukidhi takwa la serikali kuwakusanya machinga na hata wakachangia pato la jiji kwa tozo watakazolipa. Serikali inaweza kuongea na NHC wakapanua eneo lile kulifanya liwe efficiency kwa biashara.
Pale Mbagala Zakhiem kuna utopolo umejengwa ambapo wamachinga hawatakuwa na nafasi zaidi ya wafanyabishara wenye msuli wa fedha.
Kwenye hili soko la Machinga Dodoma, tuungane kumpongeza Mama Samia kwa sababu amefanikiwa kuwapatia machinga sehemu stahiki kwa shughuli zao. Pia kama ikipendeza masoko kama haya yajengwe kwenye majiji hapa nchini na kuangalia pale Mbezi Mwisho kujenga soko la Machinga la kisasa ili kuongeza wigo wa nchi jirani kuja kununua bidhaa kama wanavyofanya Kariakoo na Mbagala.
Muwe na weekend njema
CC: Pascal Mayalla ChoiceVariable bubex_jr johnthebaptist emback Ne91cM Mzee Mwanakijiji Dr. Mariposa Dr Matola PhD FaizaFoxy Mohamed Said
Ila iwe ni maeneo Yale Yale potential,pia ilitakiwa ujenzi wa Barabara au stand uwe unazingatia maeneo ya machinga Ili watengewe maeneo Yao Kwa maana wasiwe wanazurula Kila mahala Wala kwenda kuweka bidhaa mbele ya wenye maduka.Soko ni landmark lile.
Serikali ikiwekeza ktk ideas kama hizo tutaondokana na wamachinga kuvamia mabarabara na kutembeza bidhaa kwenye bars.
Mapato yataongezeka
failures wa darasa la saba utawajuaNenda ikulu Kalie pale uenda mkataba utachanwa
Ajahahhaj na mwaza ilo lipo mzee tena buchosa vumbi lake ni kiboko mzee mpaka bossa inapata vumbi nimenyanyua mikono juLile vumbi Kigoma waje na ubunifu kuligeuza bidhaa labda litqpungua.
Si unaona Congo wameliuza vumbi lao nchi inatakata