Mtengwa II
JF-Expert Member
- Mar 13, 2017
- 954
- 1,578
Pilau Bata!!
Mkuu inaonyesha bado hujapata nafasi ya kuandaliwa gegedu la bata nyama yake huwa na ujazo wa ukweli halafu tamu balaa25000 kuku wawili ambao wamebalehe na utamu wao zaidi ya bata.