Mlendamboga
JF-Expert Member
- Sep 14, 2011
- 664
- 334
Soko la Forest jijini Mbeya limeungua usiku wa kuamkia leo na kuteketea kabisa, chanzo cha moto bado hakijajulikana, huu ni mfulilizo wa matukio ya masoko kuungua katika jiji la mbeya ambapo juzi Ijumaa soko la Sido mwanjelwa liliungua na kuteketea kabisa.