Mbeya: Mwanamke anatuhumiwa kumnyonga mwanae wa miaka 4

Mwanongwa

Senior Member
Feb 15, 2023
169
198
Mwanamke mmoja mkazi wa Kata ya Ilemi jijini Mbeya ambaye pia ni mfanyabiashara wa nafaka katika soko la Sido mkoani humo anatuhumiwa kumnyonga mtoto wake wa miaka 4.

Chanzo cha mauaji hayo bado hakijafahamika.
 
Maisha magumu?
Masharti ya mganga?
Hasira kwa mzazi mwenzie?
Kuchanganyikiwa?
Kurogwa?
 
Back
Top Bottom