Soko jingine laungua mbeya usiku wa kuamkia leo

What is happening?

vibaka ni sehemu ya tatizo kwani hufaidi mali za watu pindi soko likiungua na ndiyo tunafikiri wachomaji wa mioto hiyo. lakini tunawapongeza wafanyabiashara wa mwanjelwa (kinga) baada ya kibaka mmoja kushindwa kushusha mzingo aliobeba mwanjelwa na kujikuta anajisalimisha polisi
 
Mie nadhani haya matukio si ajali, labda kuna mikono ya watu inayofanya uharibifu huu mkubwa wa mali.
 
Back
Top Bottom