Soko jingine laungua mbeya usiku wa kuamkia leo

Mlendamboga

JF-Expert Member
Sep 14, 2011
664
334
Soko la Forest jijini Mbeya limeungua usiku wa kuamkia leo na kuteketea kabisa, chanzo cha moto bado hakijajulikana, huu ni mfulilizo wa matukio ya masoko kuungua katika jiji la mbeya ambapo juzi Ijumaa soko la Sido mwanjelwa liliungua na kuteketea kabisa.

mnh something somewhere is not in order..................huh,forest ipi mkuu mpya o ya zamani???

Hapo lazima kuna agenda ya siri. Kwanza soko lenyewe la Forest lilikuwa halina watu wengi, waligoma kuhamia pale, sana sana ni mama Ntilie kwa ajili ya Mzumbe.

Na hiyo tume ijumuishe masangoma na viongozi wa dini kwani kuna tetesi kuwa mbozi kuna kigagula anayetoa dawa ya utajiri, sharti؛‎ biashara yako ikianza kushamiri unatakiwa uchome moto duka lako lote liteketee.
Iundwe tume kuchunguza.

cha kushangaza ni nini hapo?
Kama meli ilizama just 15years ago na kupoteza maisha ya watu wengi na leo tena kwa sababu zile zile meli nyingine ikazama na kuua kama kawaida sembuse kuungua kwa soko?
Siye ndio watu weusi bana!!

cha kushangaza ni nini hapo?

Cha kushangaza ni kuwa hatujifunzi hata kwa makosa yetu wenyewe!

Kama meli ilizama just 15years ago na kupoteza maisha ya watu wengi na leo tena kwa sababu zile zile meli nyingine ikazama na kuua kama kawaida sembuse kuungua kwa soko?

makosa kama haya yalitakiwa yatutoe tongotongo tuweze kuona ili yasitokee tena!

Siye ndio watu weusi bana!!

Hapo kwenye rangi sidhani kama inahusu. Leo kuna nchi nyingi tu za weusi zinafanya vizuri kuliko wa rangi nyingine. Huku ni kujidhalilisha!

cha kushangaza ni nini hapo?
Kama meli ilizama just 15years ago na kupoteza maisha ya watu wengi na leo tena kwa sababu zile zile meli nyingine ikazama na kuua kama kawaida sembuse kuungua kwa soko?
Siye ndio watu weusi bana!!

Watanzania

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom