Sofia Simba na Sakata la Mafisadi na Wapiganaji!

Sofia Simba na Sakata la Mafisadi na Wapiganaji!

kuna kitu hakiko sawa kichwani mwako. Unasema sophia ameropoka halafu unadai umejua habari hiyo ni kweli. Honestly ou make me sick. Usi-label watu ufisadi wakati ukiambiwa uelezee ifisadi wao unakunja mkia kama mbwa koko.

- Ubarikiwe, safi sana.

es!
 
Mama Simba aombe msamaha kwa kusema ukweli? CCM yote ni lichama la mipasho bora wapashane tu na tuwajue vizuri.

Kama Malecela yuko kwenye payroll ya Jeetu, habari muhimu kama hiyo tungeliijuaje bila Sophia kuropoka?

Hakuna msafi ndani ya CCM na wacha waumbuane tu.

FMES, unatetea mafisadi wa nchi hii akiwemo Malecela, labda kwasababu na wewe ni fisadi yaani ni kizao cha mafisadi.

Sina uhakika kama kweli we mkuu unastahili hili jina la injinia.Lakini inaelekea una tatizo la msingi kabisa.
Wewe kula mbasa wako lakini usiharishe kwa kuvimbiwa!!
 
FMES,
Ni hatari kidogo kuuvaa Umalecela au Ukilango kuliko hata wahusika wenyewe. Hata kama UNAWAJUA zaidi ya kuwafahamu!
 
Mkuu wa sakafu waonye wakuu hapa jamvini, hakuna haja ya kuvuana nguo hapa kwa mambo ya kesho wakuu.

Wacheni kesho ijishughulishe yenyewe.
 
Ha ha ha sasa wewe ni mmbeya nini?


Ana bahati, maana angelikuwa ni Mgogo, basi ningelimwita Mgogo m-Mbeya. All in all, watani zangu nyie Wanyakyusa, mtamalizana mwakani huko Kyela. Kama nyie wasomi, watu mliotembea na kuona nchi nyingi na tamaduni nyingi, ningelitegemea muwe mfano wa wale wa Kyela. Ila kama nyie wenyewe kwa wenyewe tena Wahandisi, Wanasheria nk mnaparuana hivi, kwa kweli mwakani KYELA inawaka moto.

Mambo yakiniendea sawa ninaweza kuwa Kyela mwakani mwanzoni kwa miezi kadhaa. Ila sintajiingiza kabisa kwenye kampeni moja kwa moja. Kusema sintaingia kabisa itakuwa uongo maana damu nzito kuliko maji ila ntajitahidi kujiweka pembeni.

Mkuu FMes, naona imetosha sasa kwa Mama Sophia. Maana sasa naona kama ni Boxer, unapiga aliye lala chini. Kumbuka hata kama kapewa, yes nasema kapewa cheo kikubwa kiasi gani, mwisho wa siku ni Mama wa watoto wengine kama wewe na nina uhakika kakuzidi umri. Hivyo, kumbuka unapomuumbua jinsi alivyozaa hao watoto, unawaumbua na hao vijana wasio na hatia maana huko kwenye kushikana shanga, wao hawakuwepo na leo wanabeba AIBU ya mama yao kwa jinsi unavyomfunua na kuwafunua wao. Kama kuna mengine basi yatunze na kama akija kuropoka tena, basi tutakusaidia kuwa sasa huyu ni sikio la kufa.

Engineer, nafahamu kuwa wewe uko indepent. Ila unarudia yaleyale unayokataza wenzako wasifanye. Nafikiri unafahamu nini ninakisema. Hata kama wameku-PM kwa sababu wewe ni Zitto wa JF kwa swala hili (huogopi mtu), basi isiwe haja ya kuanza kuandika kila kitu. Mbona kuna watu tunafahamu story nyingi tu za watu humu na wengine wanafahamu story zangu nyingi tu, ila huwezi kuanza kuandika kila kitu kama vile leo ni mwisho wa dunia. Tukumbuke kuwa kuna kesho. Watakuja watoto wenu huko wamebebana kwenye magari ya UCHUMBA, na nyie wakwe mtakuwa siku ya HARUSI mnajifanya mnacheka, ila nyuso zimekunjamana.

Msiwe kama vita ya IRAN na IRAQ kuwa roketi ya mwisho ni sisi lazima turushe. Itakuwa vema msiandike chochote zaidi juu ya KUUMBUANA. Kama mtaandika juu ya KAZI zao hawa wahusika na ufanisi wao au kukwama kwao itakuwa na maana zaidi kuliko mambo yao ya kushikana shanga.... aghaaaa!!!!!!!!!!

Please, please, STOP IT!!!!!
 
Nimefuatilia hii thread naona imejaa visasi na kukamiana ndani ya sisi m. Kile kikundi cha waliokuwa wanajiita 'WANAMTANDAO' wengi wao waliwekeza muda na mali kwenye harakati za 2005 na walitegemea mavuno ndani yakipindi hiki cha kwanza cha JK, lakini miaka minne imeisha na bado wanahesabu hasara.

Naona watu wanauguza vidonda vya 2005, na si ajabu haya mawe yanaelekezwa 2010, nashangaa kwa nini wameanza mapema hivi! Jamani si mtaishiwa pumzi?
 
Nimesoma maelezo/comments za watu wengi kwenye hii topic na one thing I have pulled out ni kwamba kuna watu hapa JF ambao wanatoa hoja ambazo ziko so bias. Binafsi kuna vitu ambavyo vinanitatiza sana kuhusu wisdom ya both Sophia Simba na wahusika wa saga nzima this include Malecela na Mengi etc. kauli(mipasho) zao wote zinaonyesha out of professionalism ethical. Sidhani kauli ya Malecela kwamba Simba ni kichaa aende Mirembe ilionyesha any kind of wisdom or maturity on him at all (Najua watu wengi watanijia juu kuhusu hili ) ila that is what I think.Pia I do believe hili tatizo la kuwa na viongozi Malaya ni tatizo la viongozi karibu 99% wa Tanzania. Na kama tunataka kuweka hoja kuhusu utendaji wa kazi based on umalaya wa mtu na dignity then basi viongozi wengi wa Tanzania hawatufai. Na hii yote mazao ya sis wananchi kuona kwamba ni 100% ok for people who lead us to have vimada etc.
 
Jamani,

Hivi FISADI ni nani? Mnaowaita Mafisadi mna ushaidi nao wa kimahakama, au ni kwa sababu tu mfanyabiashara mmoja mashuhuri aliyejawa na chuki na anayependa umaarufu, anadai hivyo? Hivi fisadi ni yule ambaye baadhi ya Wabunge waliokosa nafasi katika vyombo vya dola, waliojaa gele na chuki, wanaona hivyo? Nani mwenye ushahidi, unaofaa mahakamani? Hata hao ambao wamefikishwa Mahakamani kwa hizo tuhuma za ufisadi bado hata hawajahukumiwa lakini baadhi ya watu wazuri na waadilifu wanahukumiwa na watu katika magazeti na kwenye blogu! Wewe mbona ukiitwa fisadi unaruka, je mbona mnawataja baadhi ya viongozi kuwa ni mafisadi kwa uashahidi usio na uhakika kama wa Kamati Teule ya Bunge, ambayo sasa inabainika, kila kukicha, kuwa ilitoa mapendekezo kwa chuki na fitina za kisiasa badala ya uhalisia wa mambo?
Kwa mujibu wa Kamusi ya Kiswahili Sanifu, FISADI ni:-mbaya, mtongozaji, mharibifu, mpotevu, muasherati, k.v. guberi; GUBERI naye ni:- malaya. mfanya visa kiayari, mjanja; AYARI naye ni:-mtu mdanganyifu, mwongo, laghai, mzushi!
Sasa nani fisadi, kwa tafsiri huiyo sanifu? Ni Lowassa? Lowassa kweli anaweza kuitwa fisadi? Je, mfanyabiashara fulani mashuhuri ambaye aliachana na mke wake, aliachana na mke mdogo na sasa ana binti mwingine (Kanisa lake linajua, siyo uzushi) anayemzidi umri kwa miaka 50 hivi, anayewadanganya na kuwazuga wafanyakazi wake(wengine wamemkimbia!), anaghilibu watu (mara anaisaidia Chadema, mara ni mwana-CCM safi!), anayetumia vyombo vyake kuwaandama watu asiowapenda au wanaomzidi kete kibiashara, anayewadanganya mabalozi wa nje na anayeona fahari kufanya hivyo, utamuitaje? Tuseme ukweli jamani, tuache porojo na fitina za kisiasa! Tutakuwa hatufiki kokote, kinchi na tutakuwa wanafiki wakubwa!

Bwassa
 
Kama kawaida yako badala ya kuchambua nilichoandika mimi unakimbilia kwenye siasa za Kyela. Unajidanganya bure maana mimi situmwi na mtu na niko huru hata kama kuna watu ninawaunga mkono. Huyo Mwakalinga unayemtaja kwenye kila maandishi yako kuhusu mimi, naona wewe ndio unamchafua hapa huku ukijifanya unamtetea. Sidhani kama hata yeye ni mjinga na haelewi ukweli huo. Mbona wiki jana au juzi uliomba msamaha hapa kwa kuingiza suala la Mwakalinga kwenye mjadala huu huu? Au umesahau? Kwenye siasa za Kyela karibu sana na mimi nitafurahi kuona watu wengi wanakuja kuendesha kampeni ili tuwachambue vizuri hao wanaotaka kuwa waheshimiwa. Ila wahi maana hilo boat linazama. Wamekuja hata akina Mengi na haijasaidia. Kama wewe una ubavu njoo tu. Kwa maandishi yako najua nani utampigia kampeni na mimi sioni shida yoyote.

- Irrelevant on the ishu ya Sophia na maneno yake kwa kamati, nilitegemea utakuwa na rebuttal au facts on what she said kuhusu Malecela na Mkewe, ambalo kwangu ndio hasa ishu ya msingi hapa na uwezo wa uongozi wa level ya u-Waziri wa Takukuru kwa Sophia, again sioni ishu ya taifa hapa. Na kama ni uhuru nafikiri hakuna mfungwa wa yoyote humu JF.


Labda shida itakuwa kwa huyo Mwakalinga ambaye huku unajifanya rafiki huku unamchafua hapa JF. Si uchague upande tu mapema?
Umemtukana mno Sophia kwenye thread hii, tena kwa kuingia kwenye mambo ya nguoni. Sisi watetea watu ambao hawawezi kujitetea wenyewe ikabidi kuingia kazini. Sawa Sophia ni malaya, lakini Malecela naye mbona malaya zaidi? Mambo ya ndoa yaweke pembeni mkuu maana utajiumbua bure hapa JF.

- Nilichofanya ni kuweka wazi kwamba kwa nini ninaunga mkono maneno ya majibu ya Malecela na mkewe kwa Sophia, na nikaweka facts on maisha ya Sohpia ambaye pia aliweka mambo ya wivu na chuki, ambayo ni binafsi nikasema kwamba Sophia binafsi hana uwezo wa kuwa waziri wa Takukuru na nikaweka sababu moja wapo ikiwa ni umalaya na uchangudoa ambao unathibitishwa na maneno yake mwenyewe waziri mzima kwenda kuongelea chuki na wivu kwenye kamati nzito kama hii ya Mwinyi.

- Umalaya wa Malecela sidhani kama ni ishu kwa sababu yeye sio kiongozi wa taifa tena, ila inaweza kuwa ishu huko kwenye jimbo lake na uchaguzi, lakini sio kwenye taifa, lakini umalaya wa Sophia ni ishu kwa taifa kwa sababu hasa ya Wizara anayoiendesha ya Uslama wa Taifa tabia zake ni too compromise, Malecela angekwua kiongozi wa taifa then yes ningekuunga mkono sana, the burden ni ya Sophia Waziri wa Takukuru, usalama wa maisha yangu na yako uko mikononi mwake, sasa ni kweli ninataka kumuamini waziri mwenye tabia kama zake, za kudai Lowassa ni mwanaume kuliko wote? Jibu kwangu ni hapana na I thank God kwamba wananchi wengi wameweza kuelewa kwamba tatizo la Sophia ni wivu wa binafsi na sio taifa kama ambavyo wangetegemea!

Kuna watu wengi mno wanajua ukweli na wanashangilia Engineer alivyoamua kukueleza ukweli. Kama hujui hii ni JF mkuu, watu wanajifanya hawapendi huku wanatuma PM kunipatia nyenzo zaidi za mashambulizi.
Karibu sana Kyela, sisi ndio watemi wa huku vijijini, ila acha kabisa kushambulia mambo ya nguoni ya watu wengine maana suti uliyovaa iko wazi tunaona mpaka ndani, utaadhirika bure bro! Ukiishi kwenye nyumba ya vioo, usirushe mawe.

- Haya ni yako binafsi na ni speculations at best, kwa sababu mimi sikujui na wewe hunijui, mimi FMES sio kiongozi wa taifa wala chama chochote cha siasa, ila ni mwananchi na raia wa Tanzania, ninayo haki ya kumchambua kiongozi yoyote wa taifa au siasa kwa sababu ni yeye ndiye amechagua the wrong professional, professional inayotaka uwe safi kitabia na kimatendo, mimi sio lazima niwe safi kitabia na kimatendo ili kuwa mwananchi na raia wa Tanzania, lakini utakaposikia FMEs ninajitokeza kugombea nafasi yoyote ile please kimbia haraka sana uje uwaambie kwamba nina matatizo unayoyajua yote, utakuwa right 100%, lakini kuwa member wa JF na kutoa maoni yangu kuhusu taifa langu sihitaji kuwa msafi ninahitaji kuwa mchangiaji tu an ikibidi raia wa Tanzania, Sophia amechagua mwenyewe nafasi inayotaka usafi wa tabia ambazo hana, sasa mimi kama mwananchi ni haki yangu kumchambua ipasavyo hasa anatoa kauli low kuliko Waziri wa jamhuri anavyotakiwa kuzitoa.

- Sasa kama ni suala la usafi na mapungufu, wote kama binadam tunayo na yanapishana, isipokuwa ya kwako siyajui na wewe pia huyajui kwa sababu mimi sio kiongozi wala wewe sio one, na hata nikiyajua yako na wewe ukiyajua yangu binafsi bado ni irrelevant kwa taifa ambalo ndilo hasa linatuweka hapa JF. Members wote humu tuna mapungufu sasa kwa mwendo wako ina maana hata hii JF ifungwe maana tunahukumu vipi viongozi huku na sisi tuna mapungufu? Ninasema hapana wananchi hata kama tumepungukiwa tuna haki ya kudai maadili safi kutoka kwa viongozi wetu, sio lazima kuwa kiongozi wa siasa, sas ukiamua kuwa yote ni fair deal kujadiliwa!

- Ya PM ni private ya kwangu huwa imejaa full, yaliyomo humo ni yangu, na hayana umuhimu wowote hapa uwanja wa JF, yote yaliyo muhimu kwa taifa huwekwa hapa ndio hasa sababu ya kuwa na hii forums. Ninarudia kwamba mimi siishi kwenye kioo na wala sina matatzio yoyote ya kuiba mke wa mtu, wala kuiba anything na ni mwananchi saafi sana na ni haki yangu kumchabua kiongozi yoyote yule wa taifa langu.

- Ya kuhusu kuzaliwa kwetu members hapa JF, nafikiri hilo halinihusu na wala sio one os the sheria ya JF, na ili kulifuatilia inahitaji kuanzia mbali sana kwa sababu siku hizi hata cheti tu cha ndoa sio enough kuthibitisha kwamba wazazi wanajulikana kama wako ni wako kweli, siku hizi kuna DNA ndio muamuzi wa kweli, nimeona wabongo wakiabika sana majuu na hii DNA, wakidai one thing na DNA inakuja kusema another, sasa kama nina hilo kwa any member hapa nitaanza kwanza kuweka DNA yangu ili kuthibitisha wazazi wangu na cheti chao cha ndoa ni wangu kweli, ndio nitaanza kudai na members wengine hapa JF kufuata the line, otherwise zinakua ni speculations irrelevant to the ishu za masilahi ya taifa na kuhusu wazazi wa member wmingine hapa JF hayana anything to do na masilahi ya taifa unless yeye mwenyewe amesema ni wazazi wake!

- Ninamaliza kwa kusema kwamba, Sophia ameyataka mwenyewe kwa kuingia kwenye maisha binafsi ya Malecela na mkewe bila facts wala evidence, na ninasema hivi sitasita at anytime kusema ninayoyajua yaani facts na evidence, au dataz katika kuthibitisha hoja yangu ninapomchambua kiongozi yoyote yule hapa JF. Kwa yoyote anayetaka kunichambua please weka facts na sio speculations ingawa unaweza kujiita anything speculations, lakini mimi nitaendelea na tabia yangu ile ile ya kuongea na facts, dataz na evidence sijawahi kumuogopa mtu wala anything! na hakuna wa kuninyamazisha unless una facts na ukweli zaidi ya nilionao! Bwa! ha! ha!



Field Marshall Es!
 
FMES,

..lakini Sophia Simba hakwenda kuwachambua Malecela na Kilango kwa kiwango ulichotufikisha hapa Jamii Forums.

..Sophia Simba angewatuhumu Malecela au Kilango kwa kutembea nje ya ndoa, na mambo kama hayo, basi kungekuwa na ulazima wa kumtukana kwa kiwango ulichofanya.

..ungekuwa umeelekeza mashambulizi yako kwa vitendo vya RUSHWA iliyokithiri ktk UCHAGUZI WA UWT ambao Sophia Simba alishiriki wengine tungeweza kukuelewa na hata kukuunga mkono.
 
FMES kanena kweli kabisa, mama Sofia is a political health hazard.
Sasa anapoongea na kujishaua hadharani as is she is clean, kuna wasio mfahamu wanamchukulia kama msema kweli.
Ukweli umeanikwa na sasa mnafahamu.
Kutokujua ukweli kwa wana JF wengine wanaodandia treni kwa mbele ndo kunaishia kulezwa ukweli na Mzee wa Sauti ya Umeme,FMES.
Sasa pale ulipokuwa mtu hujui,kubali na nenda zako maana sasa wajua, ubishi wa nini?
 
- Umalaya wa Malecela sidhani kama ni ishu kwa sababu yeye sio kiongozi wa taifa tena, ila inaweza kuwa ishu huko kwenye jimbo lake na uchaguzi, lakini sio kwenye taifa,! Bwa! ha! ha!



Field Marshall Es!

FMES yuo don't have to go this far, tutumie mane ya heshima kwa watu wa kada ya wazazi wetu wanaostahili heshima zetu. Najua uko provocated but you don't have to reuse maneno machafu haya!.

Mambo mengine kwetu siye wengine ni jadi tuu, anayetakiwa kutulia na mmoja ni mama zetu, kwa wababa, siye usukumani mbona ni sifa, na mwenye wamama wengi ndiye mtemi/chifu au dume la mbegu.

Nadhani huu mjadala unatosha tusiwavue nguo wazazi wetu, tutaivunjia heshima JF yetu, wengine wetu hii sasa ndio favourate past time huku tunalishwa datas kwa manufaa ya taifa, tupunguze peeping into too trivial personal privacy.

Mzee Malechela has the right to privacy inayotakiwa kuheshimiwa, na Mama Sofia pia anayo the right to privacy which needs be honoured.
Yaishe...!
 
Jamani,

Hivi FISADI ni nani? Mnaowaita Mafisadi mna ushaidi nao wa kimahakama, au ni kwa sababu tu mfanyabiashara mmoja mashuhuri aliyejawa na chuki na anayependa umaarufu, anadai hivyo? Hivi fisadi ni yule ambaye baadhi ya Wabunge waliokosa nafasi katika vyombo vya dola, waliojaa gele na chuki, wanaona hivyo? Nani mwenye ushahidi, unaofaa mahakamani? Hata hao ambao wamefikishwa Mahakamani kwa hizo tuhuma za ufisadi bado hata hawajahukumiwa lakini baadhi ya watu wazuri na waadilifu wanahukumiwa na watu katika magazeti na kwenye blogu! Wewe mbona ukiitwa fisadi unaruka, je mbona mnawataja baadhi ya viongozi kuwa ni mafisadi kwa uashahidi usio na uhakika kama wa Kamati Teule ya Bunge, ambayo sasa inabainika, kila kukicha, kuwa ilitoa mapendekezo kwa chuki na fitina za kisiasa badala ya uhalisia wa mambo?
Kwa mujibu wa Kamusi ya Kiswahili Sanifu, FISADI ni:-mbaya, mtongozaji, mharibifu, mpotevu, muasherati, k.v. guberi; GUBERI naye ni:- malaya. mfanya visa kiayari, mjanja; AYARI naye ni:-mtu mdanganyifu, mwongo, laghai, mzushi!
Sasa nani fisadi, kwa tafsiri huiyo sanifu? Ni Lowassa? Lowassa kweli anaweza kuitwa fisadi? Je, mfanyabiashara fulani mashuhuri ambaye aliachana na mke wake, aliachana na mke mdogo na sasa ana binti mwingine (Kanisa lake linajua, siyo uzushi) anayemzidi umri kwa miaka 50 hivi, anayewadanganya na kuwazuga wafanyakazi wake(wengine wamemkimbia!), anaghilibu watu (mara anaisaidia Chadema, mara ni mwana-CCM safi!), anayetumia vyombo vyake kuwaandama watu asiowapenda au wanaomzidi kete kibiashara, anayewadanganya mabalozi wa nje na anayeona fahari kufanya hivyo, utamuitaje? Tuseme ukweli jamani, tuache porojo na fitina za kisiasa! Tutakuwa hatufiki kokote, kinchi na tutakuwa wanafiki wakubwa!

Bwassa
mzee we papa nini mbona unaelekeza mashambulizi kwa nyangumi?
 
..rushwa kwenye uchaguzi wa UWT.

..rushwa kwenye CCM presidential Primaries za 2005.

..Richmond,Dowans,Kagoda,na EPA.

..tunaweza kujadili yote hayo bila kufurumusha matusi.
 
FMES kanena kweli kabisa, mama Sofia is a political health hazard.
Sasa anapoongea na kujishaua hadharani as is she is clean, kuna wasio mfahamu wanamchukulia kama msema kweli.
Ukweli umeanikwa na sasa mnafahamu.
Kutokujua ukweli kwa wana JF wengine wanaodandia treni kwa mbele ndo kunaishia kulezwa ukweli na Mzee wa Sauti ya Umeme,FMES.
Sasa pale ulipokuwa mtu hujui,kubali na nenda zako maana sasa wajua, ubishi wa nini?
.

hili nolo pumbavu sana.unashabikia ujinga huu.nyama nini wewe
 
Pasco,
Mzee Malechela has the right to privacy inayotakiwa kuheshimiwa, na Mama Sofia pia anayo the right to privacy which needs be honoured.
Yaishe...!
Mkuu shukran na kusema kweli haya ndio nilitegemea Mama Sophia kuyaweka maanani kwanza kabla ya vitu vyote...
Just Imagine mtu aje hapa na kusema Nyerere naye ni Fisadi tu kwani iole safari yake ya kwenda UN mara ya kwanza alichukua mchango wa bra bra bra.... wakati hoja iliyopo mezani haihusiani kabisa.
FMES karusha ma uppercut ambayo kweli yamegota below the belt lakini mkuu wangu nae katiwa meno ya sikio kama ya Tyson kwa Evander, marefa wakitazama tu..
 
FMES,

..lakini Sophia Simba hakwenda kuwachambua Malecela na Kilango kwa kiwango ulichotufikisha hapa Jamii Forums.

..Sophia Simba angewatuhumu Malecela au Kilango kwa kutembea nje ya ndoa, na mambo kama hayo, basi kungekuwa na ulazima wa kumtukana kwa kiwango ulichofanya.

..ungekuwa umeelekeza mashambulizi yako kwa vitendo vya RUSHWA iliyokithiri ktk UCHAGUZI WA UWT ambao Sophia Simba alishiriki wengine tungeweza kukuelewa na hata kukuunga mkono.

- Mkuu joka kwanza karibu tena, vipi huna hoja za kumtetea Sophia? Kama unazo ziweke hapa, nimeweka msimamo ambao nimeusimamia kwa nguvu zote kwa hoja na facts.

- Hakuna mahali popote katika hoja zangu nimemshambulia Sophia kwa kumsema uongo, au kudai ameenda nje ya ndoa, nilichosema ni kwamba Sophia ni tatizo kubwa sana kwa taifa kuwa Waziri wa Takukuru na Usalama wa maisha yetu wananchi wa Tanzania wewe na mimi included, kwa sababu hana maadili binafsi na hana uwezo wa kushika hiyo wizara nyeti!

- Ninaomba kurudia tena na tena kusema kuhusu haki yangu kama mwananchi huru na raia wa Tanzania, ninao uhuru wa kumjadili kiongozi yoyote yule wa taifa langu na hasa kama ninajua kuwa hana uwezo wa kuniongoza, na si lazima niwe msafi kama mwanachi lakini ni lazima nidai usafi kwa viongozi wangu kwa sababu nafasi za uongozi wa taifa zinahitaji kuwa msafi.

es!
 
Uliyoyasema kwenye kamati ya mzee Mwinyi ni ya aibu kwa aliyekuteua na wale uliojaribu kuwatetea. Sitaki niyarudie lakini kwa heshima yote uliyobakia nayo your time is up ma'am. Thank you for your unforgetable diservice to our country. Tukiamka tusikie umejiuzulu na kuwa mfano wa utawala bora. Usisubiri uundiwe kamati.

Mwanakijiji,

Kaka, hapa umechemka. Hujasoma alama za nyakati.

Waziri Sofia Simba ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya RAIS, Utawala Bora! Upo hapo?

Taasisi zote za Utawala Bora (Good Governance), ziko chini yake. Ina maana, hata ripoti za TAKUKURU hazimfikii RAIS bila kupitia kwake, achambue nini RAIS anasoma, na nini hasomi.

Sasa wewe unadhani Sofia ALIKURUPUKA tu na kubwata aliyoyabwata, BILA KUPATA RIDHAA ya RAIS?

Ametoa ujumbe, kwa niaba ya RAIS. Alipata idhini ya RAIS, bila hivyo angekuwa anajichinja KISIASA. Ujumbe ni wa RAIS mwenyewe, si wa Sofia. Habari ndiyo hiyo, MESSAGE SENT AND DELIVERED!

Nadhani mpaka sasa umenisoma.

Ntazidi KUCHOKONOA tu! WACHEME, WACHICHEME, shauri yao!

Hahahaha!
 
Back
Top Bottom