Ha haaaa! FMES
Watu waliozaliwa wakati chupi zinavuliwa vichakani, wakijificha wenye mali wasiwakamate inatakiwa wasirushe mawe.
Mimi naipenda JF ila huyo mzee Malecela asingeweza kukataa kuvua chupi ya Sophia. Atakuwa tu hakupata hiyo bahati. Lizee limevua hata chupi za wafagiaji ndio awe mama Simba?
Waliozaliwa vichakani wanajijua wenyewe hata warushe mawe vipi JF ukweli huo haufichiki.
Nyie mliozaliwa vichakani, tuelezeni Malecela alifunga wapi ndoa na mama zenu?
Mitoto inayotengenezwa kwenye meza za ofisini huku wazee wakiogopa kukamatwa inakuwa hovyo na bahati mbaya tunayo mingi hapa JF.
Msirushe mawe wakati mmekaa kwenye nyumba za vioo.
FMES
Unaona wewe uliyekuwa unashabikia huyu jamaa anayejiita Engineer na kumpa kila thanks kwenye post zake kwenye ile issue ya Bwana mdogo mwakalinga na Mbuge wa kyela ona sasa!
Naona hili ni fundisho la kushabikia vichaa, mjue kwanza mtu kabla ya kumunga mkono huyu ebgineer akili yake siyo nzuri kazi yake ni kushinda vijiweni kyela na pikipiki yake akichonganisha watu ni hatari
huyu mama ni kati ya mizigo ambayo JK anatakiwa aitupe, sio kuitua
Shalom,FMES
Unaona wewe uliyekuwa unashabikia huyu jamaa anayejiita Engineer na kumpa kila thanks kwenye post zake kwenye ile issue ya Bwana mdogo mwakalinga na Mbuge wa kyela ona sasa!
Naona hili ni fundisho la kushabikia vichaa, mjue kwanza mtu kabla ya kumunga mkono huyu ebgineer akili yake siyo nzuri kazi yake ni kushinda vijiweni kyela na pikipiki yake akichonganisha watu ni hatari
Vipi wawekezaji wako wazungu mbona bado hawajafika Kyela?
JF we dare to speak openly. Kama ulitegemea kwasababu kule kwingine tulikuwa upande mmoja na FMES basi tumeunda ndoa, umepotea bro!
Afadhali kuwa kichaa ambao ni ugonjwa kuliko kuwa tapeli kama wewe. Wale vijana wa Vikoba mliowadanganya mnawaletea misaada, bado wanawasubiri.
Hayo ya FMES, ameamua mwenyewe kurusha mawe huku anajua nyumba aliyokalia imejaa vioo tena vile vibovu na vyepesi kupasuka.
FMES
Unaona wewe uliyekuwa unashabikia huyu jamaa anayejiita Engineer na kumpa kila thanks kwenye post zake kwenye ile issue ya Bwana mdogo mwakalinga na Mbuge wa kyela ona sasa!
Naona hili ni fundisho la kushabikia vichaa, mjue kwanza mtu kabla ya kumunga mkono huyu ebgineer akili yake siyo nzuri kazi yake ni kushinda vijiweni kyela na pikipiki yake akichonganisha watu ni hatari
I doubt this post, unanthibitishia kitu fulani hapa, kuna watu mmejenga urafik na watu msiowajua, unless kama mnajuana.
Kwangu na assume niko huru kutoa mawazo yangu, bila kujali nani ni nani, nitakubaliana na mtu post ya kwanza , nitapingana naye post ya pili if necessary.Huu utumwa wa kujipendekeza kwa watu, ndiyo nchi yetu imefika hapa, na leo tunapowalaumu viongozi , lazima tujiangalie na sisi, we might be the same!
Nashangaa unasema FMES hakutakiwa kumshukuru jamaa kwenye zile post, kwa hiyo huku unataka engineer amsupport tu FMES hata kama hapendi
Nashukuru umeuwa muwazi, nachelea kusema ndiyo tabia iliyojengeka hapa sana tu, kujenga makundi, kufuata mkumbo, kukubali na kutetea, hii hauwi wewe! unakuwa mtumwa , mbaya zaidi watu wenyewe wala hatujuani! LOL!
I assume wote ni ghost hapa,this is internet jamani! usitukane, toa mawazo yako freely, ndiyo maana wanaokonda humu ni washabiki na waliochagua upande!
what is forums anyway?
Ukitumegea kidogo itakuwa vizuri mkuu,nina hamu kupata walau kdogo cha hayo aliyotapika.

.......Kwangu na assume niko huru kutoa mawazo yangu, bila kujali nani ni nani, nitakubaliana na mtu post ya kwanza , nitapingana naye post ya pili if necessary.Huu utumwa wa kujipendekeza kwa watu, ndiyo nchi yetu imefika hapa, na leo tunapowalaumu viongozi , lazima tujiangalie na sisi, we might be the same!
...................I assume wote ni ghost hapa,this is internet jamani! usitukane, toa mawazo yako freely, ndiyo maana wanaokonda humu ni washabiki na waliochagua upande!
what is forums anyway?
Wazee mbona siwaelewi? au kuna kitu ambacho sisi wenye kuvaa miwani hatuoni? au ni chuki tuu siwaelewi.Uliyoyasema kwenye kamati ya mzee Mwinyi ni ya aibu kwa aliyekuteua na wale uliojaribu kuwatetea. Sitaki niyarudie lakini kwa heshima yote uliyobakia nayo your time is up ma'am. Thank you for your unforgetable diservice to our country. Tukiamka tusikie umejiuzulu na kuwa mfano wa utawala bora. Usisubiri uundiwe kamati.
I doubt this post, unanthibitishia kitu fulani hapa, kuna watu mmejenga urafik na watu msiowajua, unless kama mnajuana.
Kwangu na assume niko huru kutoa mawazo yangu, bila kujali nani ni nani, nitakubaliana na mtu post ya kwanza , nitapingana naye post ya pili if necessary.Huu utumwa wa kujipendekeza kwa watu, ndiyo nchi yetu imefika hapa, na leo tunapowalaumu viongozi , lazima tujiangalie na sisi, we might be the same!
Nashangaa unasema FMES hakutakiwa kumshukuru jamaa kwenye zile post, kwa hiyo huku unataka engineer amsupport tu FMES hata kama hapendi
Nashukuru umeuwa muwazi, nachelea kusema ndiyo tabia iliyojengeka hapa sana tu, kujenga makundi, kufuata mkumbo, kukubali na kutetea, hii hauwi wewe! unakuwa mtumwa , mbaya zaidi watu wenyewe wala hatujuani! LOL!
I assume wote ni ghost hapa,this is internet jamani! usitukane, toa mawazo yako freely, ndiyo maana wanaokonda humu ni washabiki na waliochagua upande!
what is forums anyway?
Mkuu wangu,
Hapendwi mtu hapa bali hoja yake. Mimi na FMES mawazo yetu yanakubaliana kwenye threads nyingi lakini yanapingana kwenye zingine.
Nimeshangazwa na mashambulizi yake kwa mama Sophia wakati tunajua hata ya hao anaowatetea hayako sawa.
Hakuna utumwa kwa mtu hapa, kila mtu atoe mawazo yake huru. Urafiki wa kwenye mtandao hauna maana yoyote.
[B said:Abunwasi;[/B]660415]Wazee mbona siwaelewi? au kuna kitu ambacho sisi wenye kuvaa miwani hatuoni? au ni chuki tuu siwaelewi.
Huyu mama mimi ninamsifu sana kwani aliongea yale yaliyokuwa moyoni mwake [right or wrong] lakini hakuwa mnafiki. wangapi wana gutts kama yeye ambao kazi yao kubwa ni kuteta kwenye vijiwe? vilevile ieleweke kuwa maneno yoyote aliyosema yalikuwa kwenye kikao rasmi cha faragha[This mama is a man and a half]. Jee sisi tunamshutumu vipi? kama kuna kosa kubwa ni hao wanaokuwa mabubu kwenye vikao hivyo na kuvujisha mazungumzo ya kikao kwa wakubwa zao ambao siyo wajumbe? Ule msemo wa kukosoa na kukosoana ndani ya vikao halali umekwenda wapi???
Mama huyu amenifurahisha sana kwani wengi wamejaribu kumtega nje ya kikao lakini amekataa kuingia kwenye mtego wa kutoa siri za vikao.
Mimi nadhani tungoje vikao vya juu ambavyo vitajadili masuala yote.