- Zamu yake bado mbele ya kamati, unakuja Sophia atajibiwa kwa facts Seleli ameshaanza tayari, facts sio mipasho!
- Alikuwa anarusha jiwe kwenye kioo wakati na yeye alikuwa kwenye kioo hicho hicho.
- Again zamu yake kwenye kamati bado inakuja tena soon, hataongea mipasho itakuwa facts kama Seleli alivyoanza.
- Jeetu amechangia mpaka Nyerere Foundation tena sio mara moja, toka Mwalimu akiwa hai unasema alimnunua Mwalimu? Subiri facts zinakuja siku ya zamu ya mama, usiwe na haraka mkuu ni kwa pace yake mama sio ya Sophia lakini atajibiwa!
- Sophia amezaa na viongozi wanne mpaka akaishia kupewa nafasi ya uongozi, tena ameezaa na waume wa marafiki zake na sio siri alijaribu kutaka kumuingia mzee lakini akakwama no wonder na haya maneno machafu yasiyo na facts,
- Inaeleka wewe umezaliwa vichakani, yaani baba yako alikuzaa vichakani maana sijawahi kusikia binadam amezaa vichakani, sasa tuelimishe hiyo theory ya binadam kuzaa na vichaka ni lazima baba yako alikuzaa na vichaka, lakini Sophia hakuzaa na vichaka amezaa na viongozi wanne tena mbali mbali wa serikali ya sasa, ila please kuzaa na vichaka hii ni mpya sasa tusaidie ulizaliwaje kati ya baba yako na vichaka? Bwa! ha! yes it fun!
- Watuwazima hawatishiani nyau mkuu, yatarudishwa tu tunachotaka hapa ni facts na hoja sio mipasho, angalia Seleli facts tupu!
Respect.
Field Marshall Es!