Sofia Simba na Sakata la Mafisadi na Wapiganaji!

Ni aibu kwa mteule wa Rais kufurusha maneno yasiyofaa kwa mama Macecela eti hakufaa kuolewa na Malecela katika kikao cha kiofisi.

Ana frustrations huyo za kupigwa kibuti,hana lolote zaidi ya wivu tu,mwenzie ana ndoa yake wakati yeye bado yupoyupo sana!
 
FMes
Ni kama Unakua ublic relations officer wa akna Malekela vle..Tukiwatetea hatutajua madhambi yao, acha wajibu wenyewe na sisi tuwe kando tujue madhambi ya CCM yote, Ili iwe rahisi 2010. Na je File lao Zaidi likitoka utakmbilia wapi, sasa mepata imani hamna msafi chama tawala.
 

haya ndo mambo ya hovyo hovyo kujadili hapa kama watu wenye akili timamu.kwani wewe unajuaje kama baba yako ndie aliyemtia mimba mama yako na wewe kuzaliwa?kwani akizaa na wanaume tofauti kuna shida gani?
 
tawi la mengi, namba moja baada ya namba ya mengi.
mbona CCM hawamjuwi Mengi...as per Katibu wa CCM dsm Kilunde Ng'enda...ww umeliona wapi jina la Mengi....?
NITAJIE JINA LANGU BAADA YA MENGI...
 
Ana frustrations huyo za kupigwa kibuti,hana lolote zaidi ya wivu tu,mwenzie ana ndoa yake wakati yeye bado yupoyupo sana!
Nyamizi angalia SophiaSimba , asije tumia visenti kuharibu nyumba yako?
 

- Unless na wewe sasa ni public relations officer wa Sophia, standard za kuongelea mafisadi kwa mara ya kwanza iliweka na Dr. Slaa, alitoa majina 10 na ushahidi wakalia lia kuwa wataenda kwenye sheria kumshitaki Dr. Slaa, lakini mpaka leo kimya na with time wote tumegundua kuwa ni DR. Slaa alikuwa mkweli,

- JF ni mahali pa kujadili siasa, tunajadili kutokanana yale tu tunayoyajua na kuyaona, sitetei kuwa viongozi flani ni malaika, hapana nisichotaka ni siasa za kuchafuana kwa sababu wengi ni wachafu, hata huko Sodoma Noah na Lot, walikuwa better mbele ya macho ya Mungu kuliko wengine, lakini haikuwa na maaana kwamba hawakuwa na dhambi.

- Sophia Waziri wa Takukuru alitakiwa kusema hivi, Jeetu amekuwa a proven fisadi since miaka mingi iliyopita, kwamba ana hela za kifisadi, Malecela na Mkewe wanajua kwa miaka mingi kwamba Jeetu ni fisadi, na hela zake ni za kifisadi, lakini alipowapa hela za mchango wa harusi kiasi kadhaa, tarehe kadhaa niliwaona wakizipokea na kuzitumia huku wakijua wazi kuwa ni hela za wizi, huku wakijua wazi sheria inasema kiongozi haruhusiwi kupokea michango ya namna hiyo katika harusi yake, Bing! Sophia leo angekuwa my hero kama DR. Slaa.

- I mean usafi aau uchafu wa viongozi wetu hauwezi kuamuliwa na maneno ya mitaani kama ya Sophia, utaamuliwa na facts na ushahidi lakini Oooh! Mwakalinga amepewa Shillingi Millioni 400 na Lowassa, basi hafai tena amepewa kweli ooh! kumbe wote wachafu, this is foolish na ndio maana ninakubali kwamba Sophia ni kichaaa sasa prove otherwise!


FMEs!
 
Nina furaha sana moyoni mwangu kwamba I have never trusted the following folks

Mengi
JK
Mwakyembe
Sitta
Lowasa
Kilango
hakika sijawahi na nampa Mungu sifa alinipa ujasiri tangia mwenye Chama yuko haki yaani Mwalimu sikuwahi kuwa mwana CCM waka kucheza hata Chipukizi . Naangalia game
 
Umekosea mzee mwanakijiji huyo katibu anataka aende ofisini kwake amkatie kidogo maana kwa CCM rushwa ndiyo kitu cha kwanza!!!
 
Hii topic imekuwa ya HOVYO HOVYO kwa sababu watu wameweka maslahi binafsi na kushindwa kuona wazi kuwa bi Sophia Simba kachemsha kama waziri kuongea HOVYO HOVYO VILE.

Nawasihii basi muache utoto na kuchangia objectively.
 
haya ndo mambo ya hovyo hovyo kujadili hapa kama watu wenye akili timamu.kwani wewe unajuaje kama baba yako ndie aliyemtia mimba mama yako na wewe kuzaliwa?kwani akizaa na wanaume tofauti kuna shida gani?

- Kwani wewe unajuaje kuwa baba yako ndiye aliyemtia mimba mama yako na wewe ndio ukazaliwa?

- Akizaa na wanaume wanne tena wote viongozi wa sasa wa serikali, tena wakiwa ni waume za marafiki zake Sophia, ambao amezaa nao kwa wizi inaondoa moral authority ya yeye kuwa Waziri wa Usalama na Takukuru, ndio maana Clinton akawa impeached kwani kulikuwa na ubaya gani kuhusu Monica?


FMEs!
 


Mkuu kwanza habari za siku nyingi . Leo nimeingia ughaibuni hebu nitafure sirini nikupe namba yangu kwa kuwa nitakaa hapa Ugenini kwa mwezi kikazi . Sitafika kwako ila nitakuwa UK , na Nchi fulani kwa muda wa mwezi then narudi kule kunako katika umeme kila siku .Nakuunga mkono kwa hili na tuendelee kuelimishana hapa .
 

Katibu wa Mkoa wa CCM is right..kwa maelezo yake ni kuwa Mengi hayumo kwenye orodha ya wanachama wao na kwa mantiki hiyo hiyo kadi atajua alikoitoa huyo Mengi..Wenye chama hawamtambui
 
Kuna chama hapa wenyewe hawatambuani, Mengi ndo akome kujipendekeza kwa Kikwete...kama ningekuwa mshauri wake ningemshauri aachane na kujihusisha na siasa haza na chama tawala ambacho kichafu...CCM ni kama chungu cha udongo...kina masinzi...ukigusa unachafuka...Mengi kagusa chungu sicho...pole yeke.
 

Watu wataenda archieves uadhirike wewe!...Labda kama haukuwepo inji hii, vinginevyo usingekwepa kirahisi mambo hayo...impossible!
 
Watu wataenda archieves uadhirike wewe!...Labda kama haukuwepo inji hii, vinginevyo usingekwepa kirahisi mambo hayo...impossible!


Niko tayari kukupa kuanzia shule nilizo soma na niliko kulia kaka utashangaa hakika sikuwa kuwa mwana CCM wala sikuwahi kucheza chipukizi narudia tena , nasema haya mimi si kama Mengi sijakurupuka na CCM nimeanza kuto ipenda maana nilikuwa siielewi tangia Mwalimu yuko hai . Nimeimbishwa sana shuleni yeah lakini sikuwahi kuwa mwana CCM huo hata sasa na uzee huu .
 
Watu wataenda archieves uadhirike wewe!...Labda kama haukuwepo inji hii, vinginevyo usingekwepa kirahisi mambo hayo...impossible!

Lunyungu ni msanii na achana naye. Bangi la Amsterdam limeharibu kichwa chake ndio maana anaona maweluwelu na kufikiria mara yuko Tarime, mara Dar, mara Moshi. Bangi lina tabia mbaya sana! Sasa hata kasahau kwamba alishakuwa CCM wakati ule yuko JKT.

Tuna msera mmoja hapa Kyela, akishakoreza bangi lake anaanza kusema ana project kubwa ya kutengeneza ndege ambayo itapaa mwakani. Sisi tunamwita profesa wa bangi!
 
Ukitaka biashara zako zinyooke njoo CCM - Fredrick Tluway Sumaye Waziri Mkuu mstaafu
 
CCM ni chama kilichozaliwa baada ya TANU kuungana na AFRO SHIRAZ na wapo wanachama waanzilishi. Ukiangalia tarehe alizopatia Kadi Bw.mengi utagundua kuwa ni mwanzilishi wa Chama hicho. Kitu kisicho eleweka hapa ni kwa kuwa Viongozi wa sasa wa CCM ni Viongozi Maslahi. Kama hajamkatia chochote kKatibu huyo Kihiyo hatatambulika katu hata akitoa michango kiasi gani. Hivi sasa kuna CCM Asili, CCM Maslahi na CCM Mtakuja. Mengi yuko kwenye CCM Asili lakini huyo Bw. Kilunde ni Katibu wa CCM Maslahi au Mafisadi kwa hiyo hawako chama kimoja na hawezi kumtambua!!
 


eeh? Ati nini? CCM ni moja tu CCM Maslaha..Period!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…