William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,584
- 10,466
1. ?Na ikithibitika mirembe kuwa Sofia ni timamu,mzee Malecela atakuja na hoja gani tena ya kutuzuga?Au ndiyo hii ya kuzaa na wanaume za watu?
2. Mkuu unayo ripoti ya daktari wake kuthibitisha huo ukichaa wa Sofia?
3. Yah siyo kichaa kwa sababu mpaka sasa sijaiona ripoti yoyote ya kitabibu inayoonyesha kuwa Sofia kichaa.Na wewe utatuthibitishia vipi kwamba siyo kichaa na hizi hoja zako mufilisi?
4. Hayo mengine ni nonsense sitapoteza muda kuyajibu.
Hoja iliyoletwa ni kwamba Jeetu amekanusha kuipatia kampeni ya Malecela 200M.
Wakati ukiisoma hiyo habari,hukuti kitu kama hicho.Sasa mimi sikuja na hoja kuwa Jeetu amekubali..
FMES,
Kwakuwa tumefika pahala tumekubaliana kwa hoja...CCM wote si wasafi,nimalizie kwa nukta moja tu, si wananchi wote wa Tanzania wachafu kama ilivyo CCM...ktika Bunge la Tanzania kuna Vyama vingine ambavyo vinawakilisha sehemu ndongo ya Watanzania ambao wamekubali kujitenga na uovu huo wa CCM (mim nikiwa mmoja wao), sasa hili kundi kubwa lililobakia,aidha kwa kutokuwa na uelewa wa kutosha wa hali halisi ya nchi inavyopelekwa songombingo na genge la wezi(CCM)...wamebaki kuona kuwa bado CCM ni chama kile kile kilicholeta uhuru kumbe hali imebadilika na wao ndo wahanga wa vita vya ulaji ndani ya CCM..kama tunavyoshuhudia...wenye tonge kubwa...wanapambana na wadokozi...waroho wa kutowea...wanawasakama waliokwamwa na miiba kooni..walioshiba wanashindilia kwa maji.
MKUU WANANCHI HAWATAKUWA WAPUMBAVU SIKU ZOTE IPO SIKU WATAJIUNGA NASISI WACHACHE TUNAOONA KUWA CCM IMECHOKA INAHITAJI KUPUMZISHWA.
Hakuna ubishi kama kuna conflict of interest...unataka sheria gani tena?
Thanks kwa kukiri kuwa na yeye ni fisadi.
Kama vile ilivyokuwa Sophia hana maadili ya kuwa waziri wa TAKUKURU,kwa matatizo binafsi...ndiyo hivyo hivyo, hakuna mwanachama yoyote wa CCM mwenye haki ya kujipa na kujitapa kuwa yeye ni jamadari na mpiganaji wa ufisadi, provided kuwa tumeshakubalia kuwa nyinyi CCM wote ni mafisadi,sawa...,nashukuru Mkuu angalau umenielewa.
Hapa tumeelewana Mkuu.- Ni kweli kabisa mkuu hapa tumeelewana.[/SIZE]
FMEs!
Namaanisha nimejitenga na uchafu wa ccm...usinilishe maneno sikusema miye Msafi sana,kwa maana sikatai mapungufu yangu ya kibinaadamu. Mkuu ndo chama chenu kilivyo hivyo na kinanyojionyesha sura yake halisi ya sasa, utafanyaje, kubali tu, usikionee tabu chama chako kama unakiona mzigo ww hama tu...wenzako hatuna presha saivi...wanatafunana hukooo siye tumefunga4. We baki nyumba inakuporomokea watakuchopoa uko uko uliko- huo wekundu that is wasup mkuu, yaani wewe kumbe ni msafi sana, really? Later! bwa! Ha! Ha!
fmes!
Dada yako na mama yako surely, ila wanapiga sana kelele
nasema nimejitenga na uchafu wa ccm...usinilishe maneno sikusema miye Msafi sana,kwa maana sikatai mapungufu yangu ya kibinaadamu. Mkuu ndo chama chenu kulivyo hivyo na kinanyojionyesha utafanyaje, kubali tu, usikionee tabu chama chako kama unakiona mzigo ww hama tu...wenzako hatuna presha saivi...wanatafunana hukooo siye tumefunga4. We baki nyumba inakuporomokea watakuchopoa uko uko uliko
Niliingia lini?Ha ha ha,
Umeachana na ccm lini?
Niliingia lini?
Tawi na kadi namba yangu plz?siku moja na Mengi
Tawi na kadi namba yangu plz?
Mkuu Sophia Simba sio muislam ni muumini wa kanisa la MAMA LWEKATARE. WEKA RECORD VIZURI.- Tatizo ni kwamba wewe siku zote una tatizo na mimi na this time nataka kulimaliza mkuu yaani I am willing kwenda na wewe mpaka kusikofikika na ikibidi nitamfunua mpaka mkeo mbuzi wewe, ninasema hivi Sophia ni changadoa ninajua kwamba ni dini yako ndio maana unalia sana lakini ameanza mwenyewe, mwendawazimu ni wewe na huyu Sophia wako,
- Asingekua basi angekwenda kwenye kamati kwanza kuonyesha ufisadi wa Jeetu kwa ushahidi na mzee na mkewe ili wakamatwe mara moja, otherwise, ninasema ni changudoa, na mw9izi wa waume za watu ameanza na Kitwana kondo mpaka kuzaa naye yule mtoto aliyeko Canada, now briing it on kama you have a problem!
Field Marshall Es!
- Irrelevant na waste of my time kukujibu, one minute unasema akipimwa je, halafu the next minute unasema hana ugonjwa wa kichaa, subiri apimwe kwanza mkuu acha longo longo!
FMEs!
- Mkuu chagua moja, halafu kwa nini maneno ya Jeetu liwe tatizo la Malecela, wewe ni nani hasa, Sophia ametoa maneno bila ushahidi Malecela amejibu kwamba ni kichaaa na mimi ninakubali kwamba Sophia ni kichaa kwa sababu maisha yake ayanajisema wazi kwamba amepungukiwa akili, Malecela amesema hawezi kujibishana na kichaa wewe,
- Mkuu nenda mpime Sophia kwanza halafu then msimamie Malecela kwamba Sophia ni mzima kwa hiyo madai yake ni valid, unles you do that ni kelel za mlango mkuu, watu wanalala ndani kama kawa!
FMEs!
Namaanisha nimejitenga na uchafu wa ccm...usinilishe maneno sikusema miye Msafi sana,kwa maana sikatai mapungufu yangu ya kibinaadamu. Mkuu ndo chama chenu kilivyo hivyo na kinanyojionyesha sura yake halisi ya sasa, utafanyaje, kubali tu, usikionee tabu chama chako kama unakiona mzigo ww hama tu...wenzako hatuna presha saivi...wanatafunana hukooo siye tumefunga4. We baki nyumba inakuporomokea watakuchopoa uko uko uliko
Mkuu wewe ndiyo unaleta longolongo tena na mipasho ya kitaarabu taarabu kama Bi Khadija Kopa.
Sasa ni lazima kuwe na ushuhuda wa kitabibu kwamba Sofia ni kichaa na so far haupo na siwezi kuamini kwamba ni kichaa kisa Mzee Malecela amesema ni kichaa.Mzee Malecela siyo daktari wa mama Sofia kwahiyo mama Sofia anabaki kuwa mtu na akili yake timamu isipokuwa baada ya kumwaga radhi majuzi hapa kuna watu badala ya kujibu hoja wakaja na viroja na mipasho ya kinamama.
Nachagua moja kwamba Mzee Malecela akanushe madai ya Sofia Simba kwamba hakupewa 200M na Jeetu.Akanushe hoja na siyo kukimbilia personality attacks.
i have always said this, sofia paka does not deserve to be a cabinet minister. She is just a shit, na malaya mkubwa huyu na kikwete anavuna aliyopanda kwa kuteua watu wapumbafu na kurundika ktk serikali yake.
I even wonder how the president thinks?