Sofia Simba na Sakata la Mafisadi na Wapiganaji!

Ah,

Hivi bado upo? umemaliza?

Rule number 5; Try to calm down and make friendship even if it is hard to do so

Hii post yako ya sasa hivi haiko harsh; are you changing?

Lets see at the end you gonna be my friend for sure

wait and see
 
I cant wait for the 2010 election. cha ajabu tutawachagua tena hao hao wanaotakiwa kwenda kupimwa MILEMBE. sisi bwana! ha haaaaaaaaaaa
 
FMES heshma yako kaka
me nachokiona kwa sasa kwa wale wanachama wachanga wa CCM nikukaa kimya. Maana hapa sasa ni kama baba na mama wanagombana, la hawajaanza kupigana, so mtoto nabd ukae kmya.
Nachotaka kusema n kwamba CCM sasa nakera, naudhi na imetuchosha kwa kweli. Embu niambe toka Richmond kuna ktu gani cha maaana saanaa kmefanyka TZ?. Je kwa sasa kuna kitu gan au mrad gani au program gan ya maendeleo unaoendelea mkubwa TZ?. Kla siku habari ni zilezile watu walewale. Ni kama serkal imesmama hamna kinachofanyka nchini.

CCM MNAKERA SANAA
Ingekua nchi nyngine jesh lingechukua nch sasa hiv.
 
Rule number 5; Try to calm down and make friendship even if it is hard to do so

Hii post yako ya sasa hivi haiko harsh; are you changing?

Lets see at the end you gonna be my friend for sure

wait and see

kwi kwi inabidi na mimi ni make friendship again na Solomon David... Sasa Solomon David utaniomba msamahaa au utaniita mimi pia kichaa niende milembe.. lol

Dah i cant stop laughing... watu CCM inavituko sana.. sikujua na JM naye yumo lol
 

Semenya, hawa ndugu inabidi wajipange upya, yaani ikiwezekana safu yote ya pale juu ingepumzika kwanza maana hawajui kabisa wanachotakiwa kukifanya. Ni kweli nchi imesimama kabisaaaaaaaaa, na kwa vile hawana cha kufanya wamebaki kuchimbana chimbana tu. Ukweli wana-bore sana, kiasi kwamba sometimes mtu hutamani hata nchi yako
 
 

- Hizi ndio ninaita blah! blah! hivi maisha binafsi ya Clinton yalihusu nini taifa la USA mpaka kumu-impeach? Kama mbunge Kilango aalikuwa na maisha machafu basi ni pamoja na kuchukua hela za Jeetu na Sophia ndiye ameanza, vipi na wewe una matatizo ya ukweli nini ndugu yangu? Unaporusha jiwe kwenye kioo na wewe lazima uwe nje ya kioo au?

- Sophia ana haki zote za kumalizia alipoachia, lakini maisha yake binafsi kama waziri wa Takukuru ni fair game kama alivyojadili wenziwe, au? pole sana ndugu yangu najua kwamba una yako ya binafsi lakini hapa ni hoja tu, Sophia ameanza sasa ni zamu yake kupokea na huu ni mwanzo tu!
 
 
Kukumbatia fedha na power kunaweza kumfanya mtu a ongee, afanye maamuzi na atende kama mgonjwa wa akili, zaidi ya Sophia kuna wengine wengi tu ambao kauli zao maamuzi yao na vitendo vyao vina tufanya tu tilie shaka afya za akili zao: mfano

Kauli ya Rostam ya kutaka iundwe tume ya kuchunguza ukweli wa matokeo ya tume ya Mwakyembe ni kauli inayoshabihiana na kauli ya mgonjwa wa akili

Mikataba ya madini, Richmond, IPTL etc inaonekana kama imesainiwa na wagonjwa wa akili.

…the list goes on
kwa ujumla ukillinganisha utajiri uliopo tz na umasikini wa wananchi wake, kwa ujumla unaweza kutoa conclusion kwamba viongozi wengi wenye mamlaka ya kutoa maamuzi makubwa nchini wana matatizo ya akili
 

- Ulianza vizuri sasa umerudi tena kwenye rangi zako, Sophia amegombea ubunge viti maalum akashindwa, akajaribu kina mama akashindwa, akajaribu viajana akatupwa, unasema rais alimchagua kwa sababu ya ushauri uliompa wewe au?



- Junius unaonekana hujasoma maelezo yote yalitolewa na Sophia, nenda uyatafute ndio uje tena mkuu, Sophia amesema Jeetu ni fisadi kwa sababu hawezi kumwita Fisadi mtuhumiwa wakati hajahukumiwa mbona unachekesha kama Sophia sasa?

- umerusha matusi wee sasa eti ndio unajidai una sense vipi mkuu mimi nilifikiri haya ya kuwafanya wengine wajinga uliacha kumbe bado tu? Unalia nini mkuu kumbe unamjua vizuri Sophia, huyu kibaka changudoa anaweza kujua ukweli? anasafiri na mume wa mwenziwe tena rafiki yake mpenzi kwa siri mpaka US halafu unasema huyu anaweza kusimamia sheria za taifa?

- Ameyaanza mwenyewe, sasa ukweli wote ni lazima uwekwe wazi mkuu, tunajua tayari kwamba anatafuta njia kwa pembeni kuomba msamaha lakini tunasema hivi aombe kwenye public na tumewaomba wote wanaohusika kwamba aombe radhi kwenye public au arudi kule kule kwenye kikao cha Mwinyi, Junisu what she did is big naona huelewi the big picture mkuu!

- Unasema uchangudoa kama wa Sophia sio ufisadi?

Respect.


FMEs!
 
kamati ya mwinyi imeongeza makundi badala ya kupunguza.....loosers hapa ni sisi wadanganyika ...miaka mitano mizima tunaimaliza kwa kulumbana....
 
 
 
 
[/QUOTE]

- Kama mzazi wako ni changudoa hakuna jina lingine la kumuita, unafikiri Malecela na Mama kilango hawana wototo? wewe unayeyajua yaweke hapa nikupe majibu, unafikiri ninatishika na huo usilamu wako hapa, weka mkuu tuvine nipo hapa!

- Sophia simba ni mpumbavu na inasikitisha kuwa na waziri mpubavu asiye na maadili binafsi wala ya uongozi, waziri wa Takukuru hatakiwi kuongea kama changudoa yaani bila ushahidi, alipokwenda kwenye kamati alitakiwa kuonyesha ushahidi kwa sababu pale ameiweka ofisi ya Rais on Rushwa kwenye line, na pia amemuweka Rais on the line na taifa zima, sasa unasema huyu changudoa kumuita what she is ni makosa? Alipoita wengine mafisadi bila ushahidi hukuona shida ila kwa sababu ni dini yako basi akiitwa what she is basi una tatizo, sasa bring it on ninasema hivi Sophia ni changudoa! tabia za kwenda kuzaa na waume wa marafiki zako kwa siri ni nini maana yake?

- Hii njia ameichagua mwenyewe Sophia hii ni Jf tu mkuu bado sasa magazetini, sasa usilie na hiyo dini yako hana anakudanganya huyu ni Musilamu mkatoliki, kila siku kujifanya kanisani what a joker!

- I understand kwamba na hivi vitisho vyako unaujua uchafu wa binafsi wa Mama Kilango, sasa uweke hapa unajua watuwazima hatutishiani nyau na mimi ninaendelea na wa Sophia, pole pole kwa nafasi yangu!

Respect.


FMEs!
 

Hi mister, this is stupidity at its best,If you cant write right then try thinking about it before writing.
You might as well walk naked for all we care but please write some sense!!
 
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…