Hata siku moja sitofanya hilo kwa hili sakata, alisaidia sana kumlevya kimama cha watu, na sasa amemgeuka! Siasa za online impact yake tunaiona kwa bi Simba!Mtake radhi mwanakijiji
Kumaliza hapa ni kupumuliwa au nini?
Huna haja ya kuomba attention ya yeyote yule, the minute umesema kuwa unapumuliwa na ZItto na Omarilyas ilitosha kuvuta attention ya wana JF.
Ndio, na mpambe wake mwenye KiredioKwamba mama simba inabidi akapimwe akili, right?
Kwamba CCM hawana wajibu wa kimaadili kujinadi kuwa kuna kundi la kupambana na ufisadi wala kujidai kuwa kupapambana na ufisadi ni msimamo wa chama kwa ujumla...wakati wote wananuka ufisadi...nani anaakili nani hana...hizo ni hoja za kujipapatua kutokana na ukweli may be.Kwamba mama simba inabidi akapimwe akili, right?
Ndio, na mpambe wake mwenye Kiredio
Rule number 4; (a) Usizushe wala kusema uongo, wala usiweke maneno yako kinywani mwa mtu.
(b) Do not talk and translate words doltishly, people will regard you as a looser.
Hii kozi inahitaji kujishusha na unapoona pana uma, basi chukulia kama challenge
Mpaka saa hizi sijatukana zaidi ya kukupa rule nne muhimu za kuishi JF
Do you need rule number 5, or are you tired?, if you need you can just ask indirectly, will definitely give you one!
Lugha zingine bwana ... Ugonjwa wa akili ni ugonjwa na ni majaaliwa. Watu wengi tu wana majirani, watoto, ndugu etc. wenye magonjwa ya akili. Sasa mtu mzima kama huyu anapotumia ugonjwa kama kejeli haipendezi.
Siyo kwamba namtetea Simba
Juni, kwahiyo ni sahihi hapa kusema hata huyo aliyempa cheo huyo Mh. Simba anahitaji kwenda Milembe?Mkuu,
Majizi yakitofautiana katika kugawana huanikana kweupe..ndo tulichokiona hapa.
Kwamba CCM hawana wajibu wa kimaadili kujinadi kuwa kuna kundi la kupambana na ufisadi wala kujidai kuwa kupapambana na ufisadi ni msimamo wa chama kwa ujumla...wakati wote wananuka ufisadi...nani anaakili nani hana...hizo ni hoja za kujipapatua kutokana na ukweli may be.
Mkuu,Juni, kwahiyo ni sahihi hapa kusema hata huyo aliyempa cheo huyo Mh. Simba anahitaji kwenda Milembe?
Daniel Mjema, Dodoma na Ramadhan Semtawa
Kilango alifafanua kwamba Simba ni waziri mwenye dhamana ya utawala bora ambaye ana vyombo vya uchunguzi chini yake kama Takukuru, lakini akashangaa kutovitumia.
Source - Mwananchi
Juni, kwahiyo ni sahihi hapa kusema hata huyo aliyempa cheo huyo Mh. Simba anahitaji kwenda Milembe?
Tafuta kwenye google.... kuna zaidi ya lugha sabini mle ikimewo Kiswahili. At the end of day Mwanakijiji akapimwe akili Mirembe ama Kidongo chekundu na huyo SimbaMpambe ni nini kwa Kiingereza?
Mkuu,
Insanity is among the defences of criminal responsibility...CCM wote ni majizi tu...na wizi ni kosa la jinai...wanajida kupakaziana wazimu ili watanzania waone kuwa madai wanayozushiana si ya kweli....hwenda wote ni vichaa lakini walipokuwa wanashirikiana na mafisadi(akina Jeetu Patel) hawakuwa vichaa bali na akili zao.
upimwe ukweli wa madai yake tujuwe wapi pana uwongo.Kwa hiyo inabidi mama simba akapimwe akili, right?
Daniel Mjema, Dodoma na Ramadhan Semtawa
"Simba ni mgonjwa, ana matatizo ya akili kichwani, namshauri apelekwe au aende Mirembe akapimwe akili na kupata matibabu kabla hajarudi Dares Salaam."
Mzee Malecela ambaye ni mjumbe wa kudumu wa Kamati Kuu na makamu mwenyekiti mstaafu wa CCM, alisema Simba atafanya kosa kama atarudi Dar es Salaam bila kwenda Mirembe kupima akili na kupata matibabu.
"Asirudi Dar es Salaam bila kupita Mirembe kupima akili, kwa maana atakuwa amepoteza fursa ya kujua matatizo aliyonayo kichwani kwake," alisisitiza.
"Kama Mheshimiwa Simba alikuwa na ushahidi wa tuhuma nzito kama hizo tangu mwaka 2005 kama ambavyo anataka Watanzania waamini, bado haiingii akilini ni kitu gani kilichomfanya asitoe taarifa hizo katika vyombo vya dola,†alihoji Kilango. Source - Mwananchi
Splendid!
You see, this is real JF, na your post is superb, if JF will have people like you kwa nini tusiringe bwana
SOLOMON DAVID, take this desa la comment na angalia comment zako, kama hutazichoma moto!
ala kumbe ni internet
upimwe ukweli wa madai yake tujuwe wapi pana uwongo.