Sofia Simba na Sakata la Mafisadi na Wapiganaji!

Usishangae mwakani wakashinda kwa kishindo, watu tunaojua yanayoendelea hata 10% hatufiki, na huwa hatupigi kura, kazi bado ipo.

Kwa kuiba kura watashinda..........kwa uhalali hawawezi
 

"bangi tupu"
 
hii nchi bana yaani hatujamaliza kusikiliza single ya super star Hosea wana release single ya Mengi itauza kweli hii...
 
Napenda kuwaambia kwamba mimi ni Mwanachama wa CCM tangu tarehe 18 Aprili,1977 na kadi yangu ni Na. B124595, iliyotolewa na Tawi la Kisutu, Wilaya ya Ilala, Mkoa wa Dar es Salaam.

Mengi leo kwa mtizamo wangu amekiri wazi naye ni fisadi! Hakuwa na sababu ya kutuambia yeye ni CCM! Angejibu hoja...wengine sisi CCM ni haramu!
 
wametumia pesa zetu wavuja jasho kwa bunge kukaa na kujadili majungu, kwa mtizamo wangu bunge la mara hii ni bovu kuliko maana sijaona kama kuna issue yoyote yenye maslahi ya taifa imejadiliwa, hivi hii nchi imepata kirusi gani?
 

Mkuu hujamuelewa mzee RM hapo anaamanisha huyu mama anaropoka bila kufata ushauri wa UWT ndio maana amemwambia kabla hajaropoka achukue ushauri wao ili apunguze kuropoka
 
HUYU JAMAA anatatanisha!HAKIKA NI MTATA!;
ANGALIA HAPA:


Hili ni gazeti la IPP Nipashe leo, nimechukua kipande.

"Mengi ni mwanachama wa CCM wa siku nyingi; amekuwa akisaidia jamii ya Watanzania misaada mingi ya kuwawezesha kiuchumi; amekisaidia hata CCM kwenye uchaguzi wa Busanda Sh. milioni 100," alisema na kuongeza kuwa wakati wa uchaguzi wa UWT Simba alipata msaada wa Sh. milioni tano kutoka kwa Mengi."
 
Kwahiyo ukiwa mwananachama wa ccm uko huru kuongea na kufanya chochote unachotaka ? Hii nchi haina sheria zake ?
 

Kuna thread nadhani inayoongelea mambo ya NICOL sasa naona mnayamwaga hapa, kwenye Mengi na Conference yake
 
hii nchi bana yaani hatujamaliza kusikiliza single ya super star Hosea wana release single ya Mengi itauza kweli hii...


Mchaga, the market is now saturated, none of these singles can sale gold!! Its all rubbish.
 
Huyu Mengi anapenda sana publicity, kwa kuwa sasa hivi focus ipo Dodoma anaona kama kasahauliwa anakumbushia na mimi nipo.

Habari sio kuthibitisha yeye CCM ingekuwa habari kama yeye angetangaza kuacha kuchochea makundi ndani ya CCM na "makamanda" wake akina Sitta, Mwakyembe et al.
 
Dalili nyingine njema kwamba CCM itagwanyika kabla ya 2015.
 


Mengi=RA=EL=Six=Sophia=Hosea=Tanesco=IPTL=TRL=Buzwagi=Richmond=Kiwira=Meremeta=EPA=4thphase=Umasikini wa watanzania

Who is gonna break this vicios circle??? We need congrete answers guys!!
 
Tangu nipate tetesi who is whi in Tanzania and JF, nimekuwa nikifaidi sana kukitokea mikwaruzo kama hii. Hapa kuna watu wengi wanatetea ndugu zao, jamaa zao, rafiki zao, wazazi wao, wakwe zao, wapenzi wao, nk nk nk.....

Mama Sophia Simba inabidi nikushukuru kwa katufungulia ukurasa mpya kabisa Tanzania. Taratibu tunaanza kuisongelea saa tisa mchana kabla ya Yesu kulia "Eloi......." na PAZIA LA HEKALU LIPASUKE.....
 


Mkuu Sikonge mbona hujasema kuna wengine wanasimamia kweli maana wanaamini hiyo kweli itawaweka huru?Bila kusahau wengine wanaosukumwa na nguvu za uzalendo, chachu ya mabadiliko na kutaka kuiona Tanzania njema.
 

hapa kupasuana tuu italeta adabu wajinga woote wahame, ila nae huyo mama mchafu sana hana lolote japo ndio hivyo anatumika ili kulipia uenyekiti wa uwt aliofadhiliwa hana choice kwa sasa!ningependa viongozi wangeganya kama Mohd Dewji hana utata na watu,yeye jimboni kwake na raia wake basi na biashara zake!
 
hapo ndio unapojua kuwa hii nchi sasa hivi ni 'bora liende'. Raisi/Mwenyekiti anashindwa kutatua matatizo kati ya serikali yake na wabunge wa chama chake, anaunda kamati na matokeo yake ni misuto tu...
 
ni vigumu sana kuelewa siasa ya tanzania.Mengi kujianika kwamba ccm ina viongozi wasafi na watuachie wenye chama kusema kweli ana lake jambo na tutaliona mwakani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…