Sofia Simba na Sakata la Mafisadi na Wapiganaji!

inathibitisha kuwa Mengi isnt as smart as some people want us to believe

the same applies to hao the so called washauri wake

GT bado unaendeleza mashambulizi yako kwa Mengi kwa niaba ya wafadhili wako wakina Manji & co. There is no doubt in my mind that Mengi and his handlers are very smart people and hence their timely nipping of Sophia's allegations in the bud. Sophia is alleged to have vehemently attacked Mengi during the CCM MPs caucus with the THREE CCM WISE MEN.

Mengi got wind of what the woman said and hence his timely rebuttal at the news conference! If that is not smartness then what is smartness?
 
Na bado patachimbika....endeleeni kufichuana ..cha msingi watanzania wamechoshwa na CCM tunasubiri mwakani tuwapige chini 90%
 
Lazima Mzee Mengi amechanganyikiwa. Hii taarifa haina maana yeyote kwani Watanzania wanajua kuwa yeye ni CCM na hata mwaka 1995 TV yake iliweka mikanda ya mauaji ya Rwanda na kuwaambia watanzania kuwa wapinzani wataleta vita.

Amefanya kosa kubwa sana kujitetea kwa habari za magazeti wakati yaliyozungumzwa ndani ya kikao cha wabunge ni ya ndani na hata hayo magazeti hayatoi sources na kuandika kwa mujibu 'mtoa habari wetu'. Anawachingea wabunge wake ndani ya bunge.

Kama hakuna anachotaka kisiasa, basi hii ni press conference mbovu kuliko zote ambazo Mengi amefanya maana haina maana yeyote kwake na hata kwa chama chake cha CCM.

Mwisho, ana mamlaka gani ya kusema Waziri Simba kabla ya kuongea kwenye vikao vya CCM awasiliane kwanza na Idara ya Usalama?

Too low and ridiculous. Iacheni CCM ivunjike! Why holding it? Mengi acha siasa kwa wanasiasa. Fanya biashara na tumia fedha zako kusaidia mabadiliko ya nchi na sio kurutubisha mizizi ya CCM.
 
Mimi nilifikiri anatoa jibu kuhusu uhusika wake na kuwaingiza wananchi mjini kupitia NICOL. Kumbe anakitetea Chama Cha Mafisadi. Mnatuzingua tu nyie wote ni wale wale
Mkondoleaji unachanganya mada Nicol na CCM wapi na wapi?

hacha hizo.
 
Lazima Mzee Mengi amechanganyikiwa. Hii taarifa haina maana yeyote kwani Watanzania wanajua kuwa yeye ni CCM na hata mwaka 1995 TV yake iliweka mikanda ya mauaji ya Rwanda na kuwaambia watanzania kuwa wapinzani wataleta vita.
Hahaha,

Zitto, hapa ndipo watu wanapoona umuhimu wa kuwa na washauri wenye busara vichwani. Sidhani kama PC hii imetolewa wakati muafaka. Pia sidhani kama kulikuwa na ulazima wa kufanya hivi...

Anyway, ilikuwa iwe, imeshakuwa na itaendelea kuwa zaidi ya hivi, nawahakikishia kufikia Dec 31, 2009 tutashuhudia mengi tu!
 

Bulesi, Mengi ana uhakika gani kama hayo yaliyoandikwa ndio yaliyosemwa. Na kama yalisemwa ndani ya kikao cha CCM kwa nini yeye ajibu kwa umma. Aende kwenye tawi lake la CCM aongee na katibu wake waite kikao cha kamati ya siasa ya tawi na kutoa malalamiko yake.

Kwa nini mambo ya CCM anayafanya ni ya Taifa. Totally wrong move
 

To me Mengi is among the frustrated people.. and it makes me to think critically what Sofia Simba spoke about them, I can slowly start connecting the dots.

Sofia hawezi kuropoka to that level she is being backed from somewhere ,i believe
 
Mengi analishwa upupu na kina mpendazoe na kina seleli na lembeli...wanamfanya aonekane kituko..

Nasema tena mzee anaweweseka na hii itamfanya afunguliwe mashtaka na mama Simba kwa kumchafua
 

Hakufikiri vizuri tu! Hakusaidiwa kufikiri. Anatuchanganya tu na CCM yake. Mengi anapaswa kuwa stateman, juu ya vyama na hata ikibidi kusaidia vyama vyote waziwazi. Ndivyo matajiri wenzake hufanya. Huwa akibanwa na serikali huyu hakuna mbunge wa CCM anayemtetea. Wote huufyata Bungeni.

Ajue Watanzania wengi hivi sasa hawamchekei mtu yeyote anayejitanabaisha na CCM.
 
Mkondoleaji unachanganya mada Nicol na CCM wapi na wapi?

hacha hizo.

Yeye si anatuhumiwa kuwaingiza watu mjini kupitia NICOL, sasa mimi nilitegemea angetoa ufafanuzi kivipi hahusiki na hiyo kampuni. Sasa kuja kutuambia yeye ni mwanachama wa CCM na blabla nyingine haisaidii
 


I concur Zitto!
 
mengi analishwa upupu na kina mpendazoe na kina seleli na lembeli...wanamfanya aonekane kituko..

Nasema tena mzee anaweweseka na hii itamfanya afunguliwe mashtaka na mama simba kwa kumchafua
asije kufa kwa presha ya kesi.maana hata comedy wanawafanyia press.
 
Natamani kama mahojiano haya ya kamati ya mzee mwinyi na wabunge ingerushwa LIVE..hhaaaaaa
 
Natamani kama mahojiano haya ya kamati ya mzee mwinyi na wabunge ingerushwa LIVE..hhaaaaaa

Kigogo mahojiano ya mzee Mwinyi yangerushwa live basi leo tungekuwa tunaandika historia mpya Tanzania. Kile kishindo cha ku resign kwa EL et al kingekuwa cha mtoto. Hapa Dodoma tusingekuwa tunaangaliana usoni!!
 
LOL inafurahisha mtu anavyojikaanga.. ila UWT si ipo nyuma yake?....usalama

"Kwani kuna shida kama ukiaahidiwa kupewa uwaziri mkuu mara pale mafisadi watakapo twaa nchi kwanini usitetee" Hata Yesu alihadiwa na shetani ingawaje alikataa kata kata.
 
Kigogo mahojiano ya mzee Mwinyi yangerushwa live basi leo tungekuwa tunaandika historia mpya Tanzania. Kile kishindo cha ku resign kwa EL et al kingekuwa cha mtoto. Hapa Dodoma tusingekuwa tunaangaliana usoni!!

yaani ningekuwa natazama TV nadhibiti remote control madogo wasinipotezee concentration na popcorn zangu pembeni...daaaaah
 
Na bado patachimbika....endeleeni kufichuana ..cha msingi watanzania wamechoshwa na CCM tunasubiri mwakani tuwapige chini 90%

Usishangae mwakani wakashinda kwa kishindo, watu tunaojua yanayoendelea hata 10% hatufiki, na huwa hatupigi kura, kazi bado ipo.
 

"wewe kametumwa labda na jakaya"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…