Sofia Simba na Sakata la Mafisadi na Wapiganaji!

...... Naibu Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dk Emanuel Nchimbi alitumia nafasi yake kuomba maridhiano ya wabunge wa CCM, kujenga moyo wa kusameheana ili chama kisonge mbele.

Hakuna kusameheana hapa, haki itendeke, maridhiano yawe katika kuutafuta ukweli wa mambo, sio kuridhiana kwa kutunziana heshima, wakati hao wote ni mafisadi watupu!!!
 
duh yani ni usingizi tu ama sivyo ningekesha, naomba mnisaidie kitu kimoja, mtu kama mimi nitajuaje kwamba anayoyasema huyo mdada Sophia ni ya kweli ama si ya kweli.mnaowasii washitumiwa waache tu, mimi naomba pia waacheni nao watoke, labda itasaidia tukisikia upande wa pili. leo nimeikumbuka sana hile nyimbo ya Misosi(nitoke vipi). usiku mwema wana JF wenzangu.
 
- Unajua kuandika na kujijibu na kijipa thanks ni dalili za akili kama za Sophia Simba, naona nikuachie labda wakitokea wengine ndio nitajibu, maana inatia kinyaa kama Sophia!

William.
wapi mejipa thanks mkuu.
Mbona unahasira?kwa majibu yako inaonekana alidhamini. NAMIMI NASEMA INATIA KINYAA TENA MNOOOOO KWA MTU ANAEJIFANYA MSAFI NA MPIGANAJI KWA KUPOKEA HELA ZA MAFISADI.'na kujifanya msafi kumbe hamna LOLOTE.

Kwanini Baba wa taifa [RIP] alimkataa na hakumkubali malecela? May be he saw some thing weak on him?may be,

CCM mnakera sasa
jamani anzeni program za maendeleo, tumechoka na madudu haya.
 
Hiki ndio chama watanzania wanachokitegemea kweli taifa letu limekwisha.
 
Unaweza kuta jeeto kuwa mahakamani baadh ya wapiganaji hawapendi hiyo hali, kisa alikua big boss wao once. jamaa [CCM]sasa inakera sanaaaaaaaaaaaaaaaaaa. Embu fikirieni TZ sasa kuna kitu gani cha maendeleo, kama si blaa blaaa blaaa tuuuuu.
 
wanaJF nafikiri ii thread inafaa iunganishwe na thread ya Sofia Simba:Time 2 Go!
Zote zinazungumzia topic moja.....kulipuka kwa Sophia Simba.
 
Du leo hata sisi watoto wa wakulima tutayasikia mengi, kumbe kuna watu wako jela maisha huko sehemu wow!.
 
saku kafungwa au nani?
 
Hivi huyu mama kwa kauli hizo za aibu alizotoa; ana tofauti gani na yule Mkuu wa Wilaya ya Bukoba aliyecharaza walimu viboko? kwa nini Ikulu isiingilie kati mara moja ili apumzishwe kwa kuvuliwa madaraka yote walau Serikalini? Akibaki huko UWT-CCM shauri zao, sijali!
 
sisi hatutaki kujua kuwa watoto wa wana CCM wamefungwa wangapi, tunachotaka sasa CCM imeguke tuwe na upinzani wa kweli TZ.Hawa jamaa hawakawii kuifanya TZ ikawa Zimbabwe Nyingine hawa, wanaelekea pabaya.
 
Du leo hata sisi watoto wa wakulima tutayasikia mengi, kumbe kuna watu wako jela maisha huko sehemu wow!.
Ndo mana nasem mkuu hawa CCM wanajuana hawa, hakuna msafikule, meshagundua. Ukijifanya eti unawatetea sijui wapiganaji sijui akina nani, mwishowasiku ma file yao yanagundulika, na unashindwa hata la kuwatetea. Sisi ni kukaa kando nakuangalia barafu ya CCM inavyoyayuka. Ila iyayuke mapema kwasababu ikichelewa tutakua Zimbabwe nyingine.
 
Wacha tu hili li-CCM lisambaratike, pengine tutapata chama mbadala kitakachokuwa serious.
 


- Baba wa taifa alimkataa Malecela lakini akamkubali a proven fisadi Mkapa, sasa tusaidie hiyo theory mkuu, halafu mwenye hasira ni nani ungekua unataka ukweli ungeanza na Mjomba wako Mboma, vipi aliyoyafanya na Mkapa Kiwira then tuhamie na wengine, maana wewe si umenufaika na zile hela za Kiwira au unakataa tuweke ukweli wazi hapa ndugu yangu? Ha! ha! eti Semenya ha! ha! ha! mkubwa mzima kujiita majina hovyo hovyo umechanganyikiwa nini!

William.
 

- Ndio maana ninasema hii ya Sophia inachekesha sana, waziri wa usalama wa taifa, kumbe anajua kuwa hela za Jeetu ni za ufisadi, sasa kwa nini hajachukua hatua za kisheria na Takukuru yake?

- huyu ndiye Sophia alimburuza Mama Kahama kwenye uchaguzi uliogeuka kuwa kama mdundiko na mambo ya ngonjera na kwamba yeye amesoma sana, inasikitisha sana!


William.
 
Wakuu zangu,
kusema kweli huyu Mama Simba sasa nadhani kavuka mpaka.. Haya maneno anayasema ndani ya Bunge chini ya Kiapo, na ikiwa hakuna ukweli wa maneno haya (USHAHIDI) sijui..Kifupi nasubiri kuona Bunge litachukua hatua gani!
 
Huyu manma ni lazima alazimishwe kuleta ushahidi kwani maneno hayo ni mazito kupita kipimo... Yaani du Bunge limegeuka lango la Jiji jamani!
 
Chama bora ni kipi kinacho ficha siri ma uovu au??
 
Mnasema huyu mama amesoma sana, hivi ana digrii tisa kama za Bwana Mugabe nini?.
 

Tusikimbilie sana kwenye ushahidi wa kushikikika (tangible evidence), bali ikiwezekana tuangalie pia ule wa kimazingira na kuomba maelezo toka kwa wahusika ikiwezekana. Kama mtu anafanya mambo kinyume na mazingira ya kawaida lazima atoe maelezo ya huo uwezo unakotoka.
 

Mkuu Mwanakijiji,
Nafikiri huyu mama alitakiwa kujiuzulu kwa aliyosema hapo siku za awali na sio jana. Kwenye tume ya Mwinyi amefanya tu alichotakiwa kufanya kama mbunge mwingine, kutoboa madhambi ya wengine. Tusubiri maelezo ya Kilango na wengine aliowashutumu wajibu mapigo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…