- Labda wewe na Hosea mngetuonyesha ushahidi, badala ya kuwapigia simu wabunge na kwenda kujikomba kwa Spika,
- Ninamheshimu sana DK, kazi yake kubwa kwenye taifa, ya kuanzisha kampuni ya umeme nilisema wazi kwamba kweli kulikuwa na conflict of interest, sasa kama tuna sheria on that basi alitakiwa achukuliwe hatua za kisheria, otherwise tunawahukumu wananchi wengine kwa ushahidi na sio ngonjera na viroja! ndio sababu tulienda shule!
- Wananchi wenye mawazo kama wewe ndio sababu kina Sophia watakuwa marais wetu in the future!
Ahsante.
William.
Tusema Sophia si Mfalme njozi kama ndiyo ataweza kujuwa kitu ndani ya vichwa vya Spika na Kilango Malecela, lakini madai aliyoyatoa hayaonekani dhahania hasa hili la kuwa wamewahi kuonja ladha ya fedha za mafisadi waje wajibu madai yao waseme ni uwongo na Jeetu Patel akatae kuwa si kweli...kuw fedha za EPA anazodaiwa kuchota hazikufika hata senti tano mfukoni mwa the Malecelas
labda hivyo ndivyo anavyotakiwa kufanya na bosi wake, kwa macho yako kazi imemshinda kwa bosi wake hivyo ndivyo atakavyo
bosi wake angekuwa hapendi utendaji wake wa kazi angemfukuza
Spika wa kujikomba kwake yupi sasa..Sitta au mwingine..anayeomba msamaha akitishiwa kuvuliwa uanachama ??
Mkuu me naona kwa wana CCM sasa hakuna wa kukaa upande wake. hatujui siri zao nyingine, sidhani kama kuna msafi CCM hasa kwa hawa wakongwe. sisi tukae na tuangalie jinsi CCM wanavyobomoka. Dont side wth any body, unless u have interest.- Lakini bado ni Spika mpaka leo na Lowassa bado yuko bench? Ha! ha! ha! unajua unachekesha sana!
William.
when u go for equity, u must go with cleaN HANDS. sijui kama inakua applied kwa akina kilango au lah...Bongo imekua shakhalabakhala.
Ukiwapeleka polisi wanapata dhamana na hata wakifungwa, baada ya muda mfupi wanaonekana tena mitaani, polisi, mahakamani na magereza kunanuka rushwa....Anyway lkni kuhusu maigizo ya UFISADI yanayoendele hivisasa bongo, tutasikia mengi sana du. Lakini nadhani huyu Sophia naye either ni fisadi au anashirikiana na mafisadi(kibiashara au kwa maswala mengine ya kijammii kama...) au kunaufisadi alishaufanya na haujakuwa 'public' ndio maana anawatetea sana hawa mafisadi ili yakimfika yeye (yaani data zake za ufisadi zikimwagwa hadharani) nayeye apate kampani ya watu watakaomtetea.Pia wanaJF tukumbuke kuwa : Sio kila lisemwalo ni kweli... na moja ya nguzo muhimu ni kuwa... kwenye usiamini kila jambo unaloambiwa .. manake hapa naona ka vile watu wote wanaamini kuwa ni kweli Milioni mia mbili zilitolewa kamam michango .. kwa kuwa tu Sophia Simba kasema ....na hili ni tatizo kwenye jamii yetu ndio maana watu wakisikia mwizi mwizi mwizi wanatoka na mafuta bila kuuliza nani kaibiwa wapi .. nakwamba kamam mtu mwizi apelekwe polisi.. matokeo yake wameuawa watu wasiokuwa na hatia ... just because people do not spend a minute to think before reacting......
Hitler aliwahi kusema : Luck are the rulers that people do not think...
NA TUSITOKE KWENYE MADA TUKAANZA KUJADILI MICHANGO YA HARUSI ILIKUWAJE .... MADA KUU HAPA NI UFISADI ...
Nakubaliana na wewe 100 percent, ila its a fact TOO KUWA JEETO PATEL ALIWADHAMINI BAADHI YA WATU WANAOJIITA WAPIGANAJI.- Legally, Clean au dirty hands huonyeshwa kwa facts,
- kwa mfano ni fact kwamba Mboma, Mkapa na Yona wamepora Kiwira, au?
Respect.
FMEs!
Mkuu me naona kwa wana CCM sasa hakuna wa kukaa upande wake. hatujui siri zao nyingine, sidhani kama kuna msafi CCM hasa kwa hawa wakongwe. sisi tukae na tuangalie jinsi CCM wanavyobomoka. Dont side wth any body, unless u have interest.
Nakubaliana na wewe 100 percent, ila its a fact TOO KUWA JEETO PATEL ALIWADHAMINI BAADHI YA WATU WANAOJIITA WAPIGANAJI.
yes na wapo wengi kama wewe ambao mnamshangilia mwakyembe na ujambazi wake wa kuchukua posho mara mbili mbili,na kumuona si mkosaji pale alipoongoza kamati ya kuchunguza Richmond wakati kumbe na yeye ana kampuni yake anataka ianze kuzalisha umeme....
Tuambie basi je Jeeto aliwadhamini kwenye harusi yao au?me nachokiona tuwasubiri wadondoke, kuliko ku side nao. wanajuana mengi sana walivyo tuibia.sasa tunajua moja baada ya jingine.CCM wachafu wote na wanarudisha maendeleo ya nchi kwa sasa. MKuu embu niambie kuna plan gani ya maendeleo imefanyika kwa mda wa miaka 5?kama si hayo madudu tuu.- Hatujawahi kuogopa kuongelea tunayoyafahamu, hii harusi nilishiriki na pia kampeni nilishiriki na Sophia ninamfahamu sana tena kwa karibu sana na nimeshirikiana naye sana kwenye vyote, ndio maana ninamshangaa na it has nothing to do na hizo sides zako,
- yeye angetumia ukaribu wake na Rais kumuomba amuombe Obama amsamehe mtoto wake aliyefungwa maisha kule California, bdala ya kuji-expose uwezo wake mdogo wa kufikiri kwenye hizi kamati serious za taifa!
William.
Tuambie basi je Jeeto aliwadhamini kwenye harusi yao au?me nachokiona tuwasubiri wadondoke, kuliko ku side nao. wanajuana mengi sana walivyo tuibia.sasa tunajua moja baada ya jingine.CCM wachafu wote na wanarudisha maendeleo ya nchi kwa sasa. MKuu embu niambie kuna plan gani ya maendeleo imefanyika kwa mda wa miaka 5?kama si hayo madudu tuu.
Inakera Mkuu...
Sio tuu aliwadhamini wapiganaji bali pia ndiye alikuwa mfadhili mkuu wakati tingatinga likiwasafishia njia wengine wapite.Nakubaliana na wewe 100 percent, ila its a fact TOO KUWA JEETO PATEL ALIWADHAMINI BAADHI YA WATU WANAOJIITA WAPIGANAJI.