secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 21,322
- 43,530
Hahaha 😂.Video za kituruki zilizotafsiriwa kwa kigogo akiwa kalala kwa utulivu.
Hahaha 😂.Video za kituruki zilizotafsiriwa kwa kigogo akiwa kalala kwa utulivu.
Noma kinomanoma!Hahaha 😂.
Zaidi ya noma yenyewe.Noma kinomanoma!
unaeza kujazia nyama jibu lako mkuu?unatuacha njiapanda sisi wengine.samahani lakn.Kazi yake ndio hiyo hapo juu
🙆🙆Nuneaton upeleke ukweni tu hiyo
Kazi yake ndio hiyo hapo juu
Kwa sisi watakatifu, tunatumia kupumzika huku tukisoma vitabu au kuperuzi mitandao.
Jitahidi usikose hii ndani🙆🙆
Ndo maana yanafanyika gizani...😬😬😬
Nn yanafanyika gizan tena 😃😃😃Ndo maana yanafanyika gizani...😬😬😬
😆😆😆Nn yanafanyika gizan tena 😃😃😃
Kwa ajili ya mlinzi mlalafofo