Mhmmmmmmm

Mhmmmmmmm

Isenye

JF-Expert Member
Joined
Dec 22, 2024
Posts
1,819
Reaction score
4,731
Hivi wakuu
Unapokua unachati na mwanamke afu ukamuomba mchezo afu yeye akakujibu tu eti Mhhmmmmmm..hiyo huwa ina maana gani?
 
Sikia kaka mwanamke ni kiumbe mwenye majibu kadha wa kadha linapokuja suala la mahusiano, lugha na maneno Tata ndio mwanamke hutumia aidha kukufanya ufungue, umdekeze, kukejeli au kumaanisha unataka nijibu Nini? Hivyo ukimuomba mwanamke wako mchezo akasema mmmh ujue anataka ulegeze na uwe mpole uombe kwa adaabu hammna zaidi. Hakuna mwanamke ambae hataki alafu akasema mmh jibu kama sio hapana basi ujue anataka pia😂
 
1791676005247.png
 
Back
Top Bottom