Soccer Gallery Collection

Soccer Gallery Collection

Soccer soccer soccer

Mpira ni mojawapo ya mchezo pendwa duniani kote na umetengeneza ajira kwa vijana ,wakivuta pesa ndefu sana.

Picha huongea ukitizama picha unakumbuka kitu au tukio fulani ,picha ni kumbukumbu nzuri sana kumbukumbu ya kudumu.

Hapa ni mwendo wa picha mbalimbali za wachezaji na matukio katika soccer ,chochote kinachohusiana na soccer.
.........Walete katiiiiiiiiiiii.........

[emoji460][emoji460][emoji460][emoji460][emoji460][emoji460][emoji460][emoji460][emoji460][emoji460][emoji460][emoji460][emoji460][emoji460][emoji460]View attachment 2111711View attachment 2111712View attachment 2111714View attachment 2111715
Afu mane anaonekana ana mkunyenge wa kwenda. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
download-4.jpg
 
View attachment 2111831
Kama sitakosea sana Man U aliuwawa FA cup Fainali
Hiyo ilikuwa nusu fainali, hii game man u waliitawala, walikosa magoli kibao, mistake moja tu, kipa akala umeme, ferdinand akakaa goli... Hii Portsmouth ilikiwa hatari, kina kanu(ndio alifunga goli la fainali na kuwa man of the match), David james golin, mkongwe sol Campbell, suley muntari, distin, lasana diarra(bichwa nkurungu [emoji23]), john utaka fundi wa kinaijeria, niko kranjcar(mido mnyumbulifu, kama haendi ndio anaenda, pigo za kina kaka) papa bouba diop kizazi cha dhahabu cha senegal iliyomtoa mafua france 2002, milan baros chini ya moja ya makocha bora kabisa harry redknapp,
 
Back
Top Bottom