Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 26,534
- 61,964
Narudia tena soka ni vita
😂😂Halafu utasikia tuma na ya kitolea
Wahafidhina wa Anfield walipenda kumuita " The God"View attachment 2111858Uhakika tayari Robbie
FA hyo mkuuHii ilikua ligi
Nimeona ilikua robo fainaliHii ilikuwa nusu fainali ya fa cup ilipigwa Old Trafford, kipa Tomas Kuszak alikula umeme na sub zikawa zimeisha, hivyo Rio akaenda golini, lakini alishindwa kuzuia mkwaju wa Sulley Ali Muntari
OkNimeona ilikua robo fainali