Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 26,534
- 61,964
Oliver Dacourt...Leeds
Hii ilikuwa nusu fainali ya fa cup ilipigwa Old Trafford, kipa Tomas Kuszak alikula umeme na sub zikawa zimeisha, hivyo Rio akaenda golini, lakini alishindwa kuzuia mkwaju wa Sulley Ali MuntariView attachment 2111831
Kama sitakosea sana Man U aliuwawa FA cup Fainali
Naaam mkuuOgopa sana watu wenye vipara unakumbuka wakina Zidane,Ribery, Makelele hivi vipara vina siri itakuwa
Yeah, kina Denis Wise, Babayaro, Frank LeboufChelsea ya akina Zola na Gus Poyet hii
Yeah, kina Denis Wise, Babayaro, Frank Lebouf
Daaah huyu mwamba nae alikuwa vizuri sanaView attachment 2111850
Peter Ndlovu Mzimbabwe