kipindi hicho mijezi mikubwa halafu full kuchomekea mwanzo mwishoView attachment 2111777
Torre Andre Floo
Mtu mbaya bora Jana walivyokosa maana wangeongoza sana kuchukua na waoView attachment 2111825
Hossam Hassan Egpty
ukiona hadi mzee mwenyewe baba mwenye nyumba yupo chini jua kuwa ngoma nzitoView attachment 2111831
Kama sitakosea sana Man U aliuwawa FA cup Fainali
Nimefika mkuuUzi mzuri sana
C.C Fortaleza
Mwamba anashikilia rekodi ya kucheza mechi nyingi mfululizo za EPL, mechi kama 370 hiviView attachment 2111843
Nilimpenda huyu kipa Brad Friedel Mmarekani Mwenzangu wa Tukuyu
Chelsea ya akina Zola na Gus Poyet hiiView attachment 2111777
Torre Andre Floo