Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,478
- 39,998
hivi mtu unajijuaje kama una nyodo, madaha, maringo, majivuno n.k, inabidi usubiri uambiwe kuwa uko hivyo au inabidi ujigundue mwenyewe?
hivi mtu unajijuaje kama una nyodo, madaha, maringo, majivuno n.k, inabidi usubiri uambiwe kuwa uko hivyo au inabidi ujigundue mwenyewe?
ukiona watu wanakukimbia, hawakualiki, unakuwa wa mwisho kujua kinachoendelea, na zaidi ya yote ukijiona unajifikiria wewe mwenyewe zaidi na mawazo yako yanalenga kujifurahisha wewe mwenyewe.. basi una mwelekeo wa kuwa na maringo, nyodo, madaha n.k don't ask me how I knew that.. !
hivi mtu unajijuaje kama una nyodo, madaha, maringo, majivuno n.k, inabidi usubiri uambiwe kuwa uko hivyo au inabidi ujigundue mwenyewe?
you are one of them na ukajijua bila kusubiri kuambiwa?

Tunakaa katika sayari ndogo, iliyo katika nyota ndogo .The Sun is a yellow dwarf, actually a blessing in disguise, nyota kubwa huunguza hydrogen kwa kasi na hivyo huwa na maisha mafupi kabla ya kulipuka katika supernovae, nyota yetu "jua" ni ndogo sana na haiwezi kulipuka supernovae.Nyota hii ipo katika viunga vya nje vya Galaxy yetu ya "Milky Way" which is another blessing, the inner core of a galaxy is much too chaotic and hot to support life as we know it.
Our planet's size, although not too big, is also a blessing in disguise, or as some scientist like to look at it, a manifestation of the anthropic principle, that you are here to observe the universe and ask questions because the settings of the universe allow you to do so.If the earth was much bigger than it is then the force of gravity would render life impossible.If it was too small then there would be no gravity to support an atmosphere and life.
We are just where we need to be, at least for the next 5 billion years until the sun runs out of fuel and becomes a red giant and engulfs all of us in its flames before dimming.
That is if global warming, peak oil, ozone depletion, nuclear warfare, AIDS and other epidemics will not get us in the next 200 years.
hivi mtu unajijuaje kama una nyodo, madaha, maringo, majivuno n.k, inabidi usubiri uambiwe kuwa uko hivyo au inabidi ujigundue mwenyewe?
you are one of them na ukajijua bila kusubiri kuambiwa?
Ukitaka kujua kama binadamu hatakiwi kuwa na nyodo kwenye ma galaxies mbali sana huko, angalia picha za matumbo yaliyochanwa na ndani ya mwili kiujumla.
Katika dunia yetu kuna watu takriban billion 6.
Katika ulimwengu kuna galaxies angalau billion 100 (Carl Sagan) na wengine wanasema billion 200. Galaxy yetu ya Milky Way peke yake ina nyota billion 400. Ukifanya Galaxy ya kawaida iwe na nyota billion 200 na kuwe na galaxy billion 200 unapata nyota 4,000,000,000,000,000,000 zilizopo katika eneo lenye radius ya 13.5 light years, to put a light year which is a unit of distance, not time, in perspective the 150 million kms to the sun is a mere 7 light seconds.
Do you still think you are all that?