Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,675
- 40,555
Wakati mwingine katika ulimbukeni wa kiburi chetu, na kwa kutumaini akili zetu na mafanikio yetu twaweza kujiona ni watu muhimu sana katika picha kubwa ya ulimwengu. Hebu fikiria kwa kufuata picha hizi:
1: Dunia na sayari iliyozipita ukubwa. Kwa hakika Dunia inatamba!
2: Ukiongeza Jupiter, Uranus na Neptune, Dunia inaanza kuchukua mahali pake katika sayari za eneo letu.
3: Ukiongeza na Jua kama Mkuu wa Mfumo wetu wa Sayari, mambo yanakuwa hivi:
4. Sasa ukiingiza Nyota ya Antares ambazo zote iko kwenye galaksi yetu ya "Njia ya Maziwa" basi duniani na jua letu vinaonekana hivi katika picha kubwa.
5:Sasa haya magalaksi kama ya kwetu, lingekuwa moja afadhali yako mamilioni! yenye majua na sayari zake! Hii ni kutoka darubini ya hubble!
6: Sasa kwenye hiyo picha ya juu kuna maeneo ambayo yana giza na huwezi kuona nyota yoyote. Ukielekeza kamera maeneo hayo yenye giza na kumagnify kilichofikicha, this is what you get!
So: Do really think you are that important in the grand scheme of things, bado unafikiri una sababu kudengua, nyodo, na kujiona ni bora kuliko yule aliyevipanga vitu vyote kwa umahiri mkubwa namna hii vikawa? Well you are not