Afyayaakili
JF-Expert Member
- Sep 12, 2012
- 903
- 1,175
Hii imevujaa baada ya Adam Mchomvu kulopoka kabla ya tangazo rasmi kutoka afu wakajifanya kupotezea ila ndio ivo kesharopoka.
Wanapenda mteremko, hapa ndo nahisi kwa jinsi gani wasanii wa ndani wanavyopunjwa kwenye hili tamasha, Rubby alisha alert, kisa eti platform ndo unipe ela mbuzi?? Kama wana ubavu wakamchukue Justin Biba!! Maana huyo mzee ni mara mia asimame Manfongo ataeleweka zaidi.Clouds kwa kupenda maveteran, inamaana hadi sasa hawajawa na ubavu wa kuchukua wasanii walio kwenye peak?
ndo walompata wa bei rahisii!!Mbona wanatuletea wazee? Si bora hiyo hela angepewa yote kingkiba amalize mchezo
Justin bierber uwezo huo si watafilisi medieWanapenda mteremko, hapa ndo nahisi kwa jinsi gani wasanii wa ndani wanavyopunjwa kwenye hili tamasha, Rubby alisha alert, kisa eti platform ndo unipe ela mbuzi?? Kama wana ubavu wakamchukue Justin Biba!! Maana huyo mzee ni mara mia asimame Manfongo ataeleweka zaidi.
Ebwana daah,io pcha ya kwanza akiwa na mbwa mwnye hood sio ya miaka ya 90 kweli...Hii imevujaa baada ya Adam Mchomvu kulopoka kabla ya tangazo rasmi kutoka afu wakajifanya kupotezea ila ndio ivo kesharopoka.
View attachment 420875 View attachment 420872
View attachment 420872