Tetesi: Snoop Doggy ndie msanii kutoka nje atakayetumbuiza kwenye Fiesta Dar

Clouds kwa kupenda maveteran, inamaana hadi sasa hawajawa na ubavu wa kuchukua wasanii walio kwenye peak?

Katika hao waliopo kwenye peak nani yupo katika level za snoopy?na akija kweli huyo snoopy nadhani huo uwanja itabidi uongezwe!
 
Anakuja French Montana na Dj Khaleed!!

~take it to the head~


[size]
+1.png
 
Huyo mvuta bangi ndio anataka kuja najenga picha stejini atakavyokuwa anavuta huku anaimba mitusi yake
 
Hebu igeuze kwa kinyume kisha uisome utaelewa maana yake ni

"Satan is God"

Snoop aliimba akasema "If you want to come in my home...u hv to accept "God si Natas""

Akarudia tena u have to realise that.

Snoop, Shaggy na Rihanna ni Wanamuziki wakubwa wawili waliomtukana sana Mwenyezi Mungu katika baadhi ya nyimbo zao.

Halafu utakuta kuna mijitu inabisha tu na haiamini Kama hawa wanamziki wana mikataba na huyo satan...Mungu atunusuru kwa kweli
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom