Tetesi: Snoop Doggy ndie msanii kutoka nje atakayetumbuiza kwenye Fiesta Dar

Afyayaakili

JF-Expert Member
Sep 12, 2012
901
1,172
Hii imevujaa baada ya Adam Mchomvu kulopoka kabla ya tangazo rasmi kutoka afu wakajifanya kupotezea ila ndio ivo kesharopoka.
images.jpg
maxresdefault1.jpg

maxresdefault1.jpg

Screenshot_2016-10-21-12-39-07-1.png

Screenshot_2016-10-21-12-46-13-1.png

Clouds kwa kupenda maveteran, inamaana hadi sasa hawajawa na ubavu wa kuchukua wasanii walio kwenye peak?
Wanapenda mteremko, hapa ndo nahisi kwa jinsi gani wasanii wa ndani wanavyopunjwa kwenye hili tamasha, Rubby alisha alert, kisa eti platform ndo unipe ela mbuzi?? Kama wana ubavu wakamchukue Justin Biba!! Maana huyo mzee ni mara mia asimame Manfongo ataeleweka zaidi.
 
Justin bierber uwezo huo si watafilisi medie
 
Ngoja tujaribu show za hiphop ya snoop doggy kwenye fiesta tuone amsha amsha za hiphop sio kila siku ladha za pop na rnb
 
Similar Discussions

5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom