Kila nmwanaume anamtamani mke wa Snoop Dogg

101 East

JF-Expert Member
Feb 25, 2015
1,040
2,121
LICHA ya Snoop Dogg kuijenga chapa yake kama mwanamuziki anayehusudu bangi ila katika familia ni mtu wa tofauti, huyu ni mume,baba na babu wa wajukuu sita, mkewe Shante Broadus ni mfano wa malaika aliyeshushwa maishani mwake.
Snoop, 51, aliyetoka na albamu,Doggystyle(1993), kwa mara ya kwanza alikutana na Broadus, 51,wakiwa vijana wadogo wakisomasekondari ya Long Beach Polytechnic huko California, Marekani kabla ya kuhitimu mwaka 1989.
"Hata kabla ya kutoka kama mwanamuziki, nmimi na marafiki zetu tulikuwa nmashabiki wake,tungesikiliza nyimbo zake na kutoa maoni yetu na hata alipokuwa maarufu bado nilikuwa nikimsaidia katika mikataba" Broadus aliliambia W Magazine 2021.Juni 14, 1997 Snoop na Broadus walifunga pingu za maisha katika Hoteli ya Ritz Carlton huko Marina Del Rey, California, kwenye ndoa yao wamejaliwa watoto watatu, Corde (1994), Cordell (1997) na Cori (1999)."Uhusiano wangu na watoto wangu ni muhimu zaidi kuliko kitu chochote, ni uhusiano wa kirafiki katika msingi wa mimi kuwa baba,mshauri na rafiki" Snoop aliiambia NBC News 2015.Hata hivyo, ndoa yao ilipitiwa na jinamizi mwaka 2004, Snoop aliomba talaka kufuatia kuwa na uhusiano na Laurie Holmond ambaye wamepata mtoto mmoja, Julian (1998). Baadaye Snoop alikiri kuwa umaarufu ulimpanda kichwani na kupoteza mwelekeo wa maisha."Nilikuwa tayari kuacha nilichokuwa nacho nyumbani kwa ajili ya hilo(talaka), hadi pale nilipogundua kuwa nilichokuwa nacho nyumbani hakiwezi kubadilishwa," Snoop aliliambia Jarida la People 2007.Alirejea kwa mkewe, na takrabani miaka l0 baadaye, Snoop na Broadus walisona upya viapo vyao vya ndoa mbele ya familia na marafiki 200 katika sherehe iliyofanyika Januari 12, 2008 ndani ya shamba la Charlie Wilson.
Snoop alieleza kuwa watoto wake walimshinikiza kurekebisha uhusiano wake na mama yao,Broadus, alisema kutokana na kuwa na watoto na mkewe, na kwa sababu alitaka kuwa naye, basi alikuwa hana budi kufanya hivyo.Mwaka 2015 Snoop alipata mjukuu wa kwanza kutoka kwa mtoto wake mkubwa Corde na mpenzie Jessica Kyzer, hadi sasa Corde ana watoto watatu, Zion, Leo na Elleven, mtoto wake mwingine, Kai alifariki Septemba 25, 2019 ikiwa ni siku 10 baada ya kuzaliwa. Na mtoto wake wa pili Cordell ana watoto watatu wa kike na mkewe Phia Barragan,watoto hao ni Cordoba, Chateau na Symphony, hivyo kumfanya Snoop na Broadus kuwa na wajukuu sita.Katika kitabu chake, From the Streets to the Suites: Words + Music (2023), Snoop ameangazia safari yake ya muziki hadi kukutana na Dr. Dre na kusainiwa Death Row Records ila hakuwasahau na wajukuu wake."Wajukuu zangu ndio kila kitu kwangu kwa sababu kila mmoja amepata kipande cha moyo wangu,babu yangu alikuwa rafiki yangu mkubwa, hivyo kvwangu kuwa hivyo kwa wajukuu zangu ni kuonyesha niliishi vizuri kuendana na mazingira,"anasema."Sasa ninaweza kuangalia nyuma na kuwafundisha wanaotaka kufikia kiwango hiki au angalau kuwapa ramani na kuwasaidia kuepuka baadhi ya mitego ambayo ilinibidi kukabiliana nayo," anasema Snoop katika kitabu hicho. Akiongea na NBC News mwaka huu,Snoop alifunguka kwa nini ndoa yao ipo hadi leo, kupitia Kipindi cha Today, alisema kwa sababu walikutana wakiwa vijana na wote walikuwa tayari kujitolea kwa ajili ya kila mmoja wao.
"Alijua ndoto na malengo yangu na wakati huo huo nilijua yake yalikuwa ni yapi; ni kuwa na familia na kuwa jinsi tulivyo, sote tulitaka kufikia lengo hilo, na tulipofikia vikaibuka vita vya kutuondoa katika ndoa."Watu vwanatalikiana kila siku ila unapompenda mtu kweli,hakuna unachoweza kufanya ili kuvunja uhusiano huo, hivyo ninahisi kama huo ulikuwa upendo wangu wa kweli kwake tangu siku ya kwanza,"alisema Snoop.Juni 9, 2021, Broadus aliteuliwa rasmi kuwa meneja wa Snoop,jukumu lake ni kupanua ubia wake wa kibiashara, kusimamia mikataba ya ushirikiano kwenye muziki,bangi, pombe kali, michezo ya kubahatisha, ushirikiano wa chapa,utalii n.k.
"Amekuwa akiongoza kazi yangu nyuma ya pazia tangu siku ya kwanza, nisingekuwa hapa nilipo bila yeye, ninashukuru kuwa naye kama mneneja wangu," alisema Snoop katika taarifa yake. Kwa upande wake Broadus alisema tasnia kwa ujumla inaona mabadiliko makubwa katika uwakilishi wa wanawake weusi katika majukumu muhimu ya kiutendaji, ni furaha kwake kuingia katika nafasi hiyo rasmi. "Nimekuwa upande wa Snoop kwa zaidi ya miongo nmiwili, kwa hivyo pamoja na timu nyingine, 1lengo letu ni kujenga himaya na kuimarisha urithi wa Snoop kama chapa kwa uaminifu na mwongozo wetu ambao umemfanya kuwa kama alivyo leo,"anasema Broadus.Ikumbukwe mnamo 2003, Broadus alianzisha Boss Lady Entertainment (BLE), kampuni ya usimamizi wa muziki, kuandaa filamu na vipindi vya televisheni. Kwa mujibu wa Los Angeles Times, BLE, ina studio za kurekodi na wameshafanya kazi na wasanii kama Kendrick Lamar, Cardi B, Wiz Khalifa n.k.
IMG_20231028_135247.jpg
 
Write your reply...hongera kwa familia.walijielewa wapo kwaajili ya nini.siyo km kina mondy kila mwaka ndoa mpya
 
View attachment 2795678
Wanasema muhuni sio mtu,huyu je?
 
hakuna malaika anayrhusudu bhange...labda maruhani😀😃😄😁😆😅🤣
 
Back
Top Bottom