SMS zinatupunguzia wanaume pointi tatu muhimu

Kusema kwel nimeshakuwa kwenye mahusiano na wanawake tofaut tofauti ni zaidi ya wanawake 50 adi 60 ila ni wa4 tu kati ya hao wote ndio niliwatongoza LIVE. Mubashara ni kipaji aseee. Maneno hayatoki kabisa
 
Kuna madem wengine makauzu, yaani usiombe ukamtongoza dem anaevaa sendo za manyoya mara kavaa kabegi kadogo, sasa simu yake hiyo touch mara kaweka headphone kasuruali kakubana mpk tumboni utadhani anabana minyoo, nywele ndo usipime asa akiwa amesuka mzee unaweza ukajiuliza kabla ata ujamsogelea ivi huyu mtoto nitampa nini asichokuwa nacho mzee yaan unatamani upite mbele yake na elkopta utue kwake ama Range ili umzuzue ila masikini utafanyaje asa sisi tunaotoka kwenye zama za goroka saivi.
 
Hata mimi nilikwishajiuliza. Nini kimewapata hawa vijana wetu? Kila nikisoma habari zao na mabinti, utasikia eti "nikamwomba namba yake ya simu".... Huwa nashangaa na hao malaya wanaotoa namba zao za simu kwa total strangers.
 
Kuna madem wengine makauzu, yaani usiombe ukamtongoza dem anaevaa sendo za manyoya mara kavaa kabegi kadogo, sasa simu yake hiyo touch mara kaweka headphone kasuruali kakubana mpk tumboni utadhani anabana minyoo, nywele ndo usipime asa akiwa amesuka mzee unaweza ukajiuliza kabla ata ujamsogelea ivi huyu mtoto nitampa nini asichokuwa nacho mzee yaan unatamani upite mbele yake na elkopta utue kwake ama Range ili umzuzue ila masikini utafanyaje asa sisi tunaotoka kwenye zama za goroka saivi.
Usitishwe na ukubwa wa Samaki,uliza bei.
🤣🤣
 
Ngoja nitajaribu maana kuna kademu na kavizia kila siku kakishua flani hivi nikatongoze nishaomba namba nikanyimwa sasa niende tu uso kwa uso maana hakuna namna nta waletea mrejesho
 
Vitu vingine tuwaachie wahenga tu
tusiforce
hayo mambo ya kukaa vichocholoni nakushangahana binafsi nimeshidwa hapa cha muhimu napata mbususu basi hayo yakuonana kwenye glass sio lazima
 
Nitaomba namba kufanikisha appointment ya kutoka out tukifika huko namwaga mistari face to face japo maneno yanatokaga kwa sauti ya kukata pumzi balaa.
Aisee Ile mbinu ya kutengeneza mazingira inachukua muda mno duh out zinakuwa nyingi na bado hata hujaeleweka.
Wooi nasema mie akikubali akikataa potelea mbali
Hapo umezunguka sana mkuu
itumie appointment ya kwanza kutongaza face to face...malizia na kuomba mzigo moja kwa moja japo wengi wanaojielewa hawatoi mzigo siku hiyo

Next appointment Unakuja kuendelea mlipoishia
 
Namshukuru mwamba wangu mmoja kipindi hicho ....huyuu jamaa hadi tulimpa jina LA Gillette kwa yale makali aliokua nayo .... Ndio mwamba Alie nifundisha kumsimamisha demu njiani na kumpiga sound
 
Lawama yako ni kwamba watu siku hiz hawawez kutembea kwa mguu kutoka mivinjen had posta, ni kwel siwez (kutongoza physically)
 
Mbona wanawake wa sasa ni kuwaambia tuu tukutane mahala fulani ...na siku hyo hyo anakuwa.... Wanaume wa dar mnafeki Sana.
Anyway nyie zenu pesa na mashairi.
Sie huku ni kuita tuu
 
Wenyewe ukiwasimamisha tu vishabenua midomo, ila kutongoza rika linalokukaribia ni simple mnaongea kiutu uzima mnaelewana.
 
Hapo umezunguka sana mkuu
itumie appointment ya kwanza kutongaza face to face...malizia na kuomba mzigo moja kwa moja japo wengi wanaojielewa hawatoi mzigo siku hiyo

Next appointment Unakuja kuendelea mlipoishia
Kumbee...umeshawahi fanikiwa kula mzigo siku ya kwanza ya appointment?
Uzuri wa face to face baada ya kupresent inakuwa unaulizia tu
 
Ngoja nitajaribu maana kuna kademu na kavizia kila siku kakishua flani hivi nikatongoze nishaomba namba nikanyimwa sasa niende tu uso kwa uso maana hakuna namna nta waletea mrejesho
Hapo ushapigwa mzee wangu, acha kutafuta aibu ndogondogo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom