Nimekuwa mvivu kutongoza. Nifanyeje?

Melki the Storyteller

JF-Expert Member
May 3, 2022
5,701
9,779
Maisha yanakwenda kasi sana ndugu zanguni Nimechoka kutongoza ndugu zanguni, sio tu kutongoza, bali hata kuwa kwenye mahusiano ya kimapenzi, nimechoka. Nimechoka, Nimechoka.

Hawa viumbe wanapenda sana pesa. Sio kwamba sina pesa, bali nina kazi nazo. Kuhusu uongo, siku hizi siwezi kudanganya. Nikidanganya, uongo wangu unanichekesha mimi mwenyewe.

Mara ya mwisho kudanganya ni ile siku niliyokwenda ukweni kwa mara ya kwanza na suti ya kuazima, kisha nikaumbuliwa kwenye simu na mwenye suti wakati nimeweka loudspeaker

Mimi sio domo zege, ila kwa sasa naona kazi sana kutongoza, naona so kununua. Wacha tu nijilie utamu wa Jamaa kila mtu afe na chake chake Pemba.
 
Aiseeee......subiri utatongozwa...
 
Mwanaume mwenye akili haangaiki na wanawake..wala hapelekeshwi na mapenzi..wanawake wa sasa hivi wanachafua nyota ukitembea nao..ukiwa unazobiashara zinazo kuweka busy mwanamke unamuona kama taka taka tu
ni kweli unachosema, although si wanawake wote wanachafua nyota ( hawa ni small percent and rare), waliobaki ni tatizo. Focus kwenye mafanikio huwa wanakuja wenyewe
 
Kutongoza ni kujidhalilisha na kupoteza muda, mbaya zaidi unajikuta unakomaa kutongoza malaya,maana siku hizi wote ni wale wale, we tangaza dau tu watajichuja wenyewe!
 
Aliyesema wanaume wote mbwa anapewe shahada ya uzamivu.
Ebu ona
Let say namdanganya mwanamke kuwa nina miradi shamba. Hiyo miradi naitoa wapi ilihali tangia asubuhi sijapata chochote kitu. Na unakuta nimetembea kwa miguu kutokea barabara ya Lumumba hadi Isamilo tulipokutania!??
 
Unajua najaribu kuwaza
Ndo unamtongoza Unakuta mdada yuko siriaz mwenyewe anaona kaopoa Danga kumbe we unamcheka kimoyomoyo

Wanaume!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom