SMS iliyoniamsha.. kuna kusalimika?

hii sikuwahi kuisoma lakini leo inatoa majibu mengi!
 
Mtasema uzushi ikitokea je mtasemaje breaking news???Hapa nikuchukua tahadhari kila jambo linenalo lipo kama halipo basi laja......huu ujumbe si wa kupuuzia kabisa.
Kama halipo laja! Mkuu confirmed!
 
Big inspiration mkuu!
 
Mtatiro ni undislosed issue enhe? Kama siri kuu ya wale watoto wa Fatima!
 
Du du du du du du en en en ah ha ha yep yep ebwana ehne yep yep yep du du du .lisemwalo linakuja Tz sio salama tena.......please be careful wajameni du du du
 
Ingia kwenye huduma ya M-Pesa, mtumie mwenye namba hiyo kiwango cha pesa ambacho ni zaidi ya salio lako katika akaunti yako ya m-pesa. Jibu utakalopata ni " Samahani, akaunti yako ya m-pesa haina kiwango cha kutosha kutuma tsh... kwa....." KAZI NI KWAKO!
 
...........Imekuja kama ile sms iliyotangaza kifo cha Zitto akiwa Mombasa wakati yeye mwenyewe akiwa hai na wiki moja baadaye tukasikia kifo cha Wangwe.



Hapo kwenye red pana ujumbe pia. Tutafakari kwa makini.
 
muda daima huwa rafiki mkuu wa UKWELI. Hii iliwekwa hapa tarehe 5th September 2008 16:46, Thanks Mkuu Mzee Mwanakijiji
MODs haraka sana peleka hii habari kwenye tetesi, tumechoka na hizi habari tunataka tujadili masuala yakutatua shida za wananchi na siyo blah-blah.
 
Du!! Sasa ndio yanaendelea Mwakyembe ndio huyoo anapukutika taratibu.
 
hii ni thread ya 5th Sept 2008! Fatilia na matukio ya sasa! Hatari tupu!
 
Maskini kumbe ukweli wa haya matukio uliwekwa wazi mapema kabisa, ila kama kawaida yetu ya kupuuzia mambo na ili nalo tukalipuuzia na sasa Mwakyembe anamaluzika taratibu.


Sijui tu msaidie vipi Mzee Sitta naye wasi mwakyembe?
 
labda mtasema hata kifo cha mh.regia na mh.sumari ni maandalizi ya msiba mwingine.
 
Kwa kuwa imeletwa na Mwanakijiji (mdau wa blog) tutaendelea kuichangia tu?????????? ata kama imetumwa kutoka kwa maadui wake kisiasa.
 
Mtu mwenye busara hapuuzi lolote analoambiwa au kusikia hata kama ni la kipumbavu,analitafakari na kulichukulia kama changamoto kwa maisha ya kila siku.
Hayo nayaona ni maono ya kionambali.
 
Labda inawezekana kwa maana siasa ya Tanzania imevamiwa na Watu wenye kujali maslai yao kuliko ya Wananchi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…