Its pity tupo busy tunajadili udaku Im out...
Isn't it amazing. Hii kaiona ni udaku lakini kwenye thread nyingine kaleta udaku kuhusu Dr. Slaa without attribution na anamtaka Dr. Slaa athibitishe kama ni true au false. Amazing indeed.masatu....udaku, masatu...udaku, masatu..udaku, masatu.udaku, masatuudaku. Mm!! the resemblance is intriguing. Could it be one and the same? Just food for thought, happy weekend.
Mkuu
Ni moja ya njia lakini si hiyo tu mkuu wangu.
ndio maana unaweza kujirekodi bila kutumia mtandao wa aina yoyote ile Lakini bado waka trace na kugundua ni sehemu gani ulikua wakati wa kujirekodi.
Sauti ama picha haipotei Angani hubaki ina elea elea miaka nenda miaka rudi.
Law ya conservation ya Energy: energy can not be created or destroyed.
Mkuu
Ni moja ya njia lakini si hiyo tu mkuu wangu.
ndio maana unaweza kujirekodi bila kutumia mtandao wa aina yoyote ile Lakini bado waka trace na kugundua ni sehemu gani ulikua wakati wa kujirekodi.
Sauti ama picha haipotei Angani hubaki ina elea elea miaka nenda miaka rudi.
Law ya conservation ya Energy: energy can not be created or destroyed.
KWA KWELI YA KUWA NA VIJISIMU VINGI INAWEZEKANA KABISA.Nilikuwa tz kama mwezi umepita na nikabahatika kukatiza kariakoo kwa kweli nilishikwa na butwaa kusikia simu zinauzwa kwa mnada tena kwa sh 10000 na 15000.Siyo tu kuchomoa sim card au kuhama sehemu, unaweza ukawa na visimu vingi tu vya bei poa na sim cards kibao, ukimaliza unatupa. Sijui kama tracing ni rahisi kwa mtindo huo.
HII inawezekana kabisa lkini sijui kwa masuala kama haya.mana mimi nilipoteza simu yangu nikatoka taarifa vodacom wakaomba imei no wakanijulisha hiyo simu inatumika mahali fulani.nikafuatilia.niliipata LAKINI SASA KUNA RAFIKI angu kapoteza simu ya gharama kwa kweli na ilikuwa ina mambo yake mengi tu ya maana kaenda polisi ,na polisi wakaandika barua kwa voda waitrace ili wajue inatumika kwa mtandao upi tz mpaka leo ni zaidi ya mwezi hawataki kutoa hiyo printout.WANAJIBU tu kwa kumpigia simu inavyoonekana haitumiki.Hmmmm!!! KUna thread tumezungumzia maswala ya ku-triangulate simu za mkononi kwa kutumia IMEI.
sizani kama wanaweza m-trace.
mfano kila akituma sms anachomoa simu kadi anaitupa ama anaizima simu kabisa maana kazi ya simu hiyo ni mambo hayo tu.Na akitaka kutuma sms mfano yeye anaishi mbezi anaenda moro ndio anaifungua simu dakika moja anatuma sms anachomoa kadi anaitupa na anazima simu anarudi kwake mbezi.
HII inawezekana kabisa lkini sijui kwa masuala kama haya.mana mimi nilipoteza simu yangu nikatoka taarifa vodacom wakaomba imei no wakanijulisha hiyo simu inatumika mahali fulani.nikafuatilia.niliipata LAKINI SASA KUNA RAFIKI angu kapoteza simu ya gharama kwa kweli na ilikuwa ina mambo yake mengi tu ya maana kaenda polisi ,na polisi wakaandika barua kwa voda waitrace ili wajue inatumika kwa mtandao upi tz mpaka leo ni zaidi ya mwezi hawataki kutoa hiyo printout.WANAJIBU tu kwa kumpigia simu inavyoonekana haitumiki.
Hapana yeye anadai alichunguza na ilikuwa iko na mteja wa voda ndio mana akaamua kwenda polisi kupewa barua tatizo voda wanadai sijui mwanasheria wao bado hajaifanyia kazi mana mwenye simu aliomba aamiwe pia kwa mara ya mwisho hiyo no ya voda ilitumika lini mana anayo hiyo no. na huyu mtuhumiwa.sasa nisaidieni ni kweli voda wanaweza kutrace hata kama haitumii ntandao wa voda?..inawezekana huwa haitumiki mara kwa mara au haitumiki kabisa au kuna mtu hajafanya kazi yake.
..pengine imekosa charger! na hivyo kushindwa kutumika. kama kweli ilikuwa ya bei mbaya!
..au imekuwa locked na haijafunguliwa mpaka leo.
Hapana yeye anadai alichunguza na ilikuwa iko na mteja wa voda ndio mana akaamua kwenda polisi kupewa barua tatizo voda wanadai sijui mwanasheria wao bado hajaifanyia kazi mana mwenye simu aliomba aamiwe pia kwa mara ya mwisho hiyo no ya voda ilitumika lini mana anayo hiyo no. na huyu mtuhumiwa.sasa nisaidieni ni kweli voda wanaweza kutrace hata kama haitumii ntandao wa voda?