SMS hizi! Ungefanyaje?

MSIBA WA FORM FOUR

Bado tupo kwenye msiba wa ndugu zetu form four, hivyo tuungane wote kwa kusema "NECTA IMETOA, NECTA IMETWAA, FORM FOUR WALIIPENDA LAKINI KITAA KUMEWAPENDA ZAIDI"
 
SALAMA JABIR NA MIKASI

Salama Jabir sijui ana MATATIZO gani. Kila AKIMUHOJI mtu lazima AFE. Kamuoji KANUMBA kafa. Kamuoji SHARO kafa. Kamuhoji SAJUKI kafa. Kamuoji MARIAM KHAMIS kafa.Kamuhoji NGWAIR kafa. Kweli ule MKASI wa WASANII na utawakata wote mpaka waishe.

Vipi nimpe NAMBA yako nawe AKUHOJI?
 
Mlevi mmoja alizamishwa majini akibatizwa ikawa hivi:

Mchungaji: Tangu sasa hautaitwa RAHIM utaitwa YOHANA, umekuwa kiumbe kipya.

Mlevi akaondoka, alipofika nyumbani akachukua bia moja akaizamisha kwenye ndoo akasema "Tangu sasa hautaitwa CASTLE LAGER bali utaitwa FANTA ORANGE". Akainywa.
 
Mkuu umisha!
 
Haha katisha kingreza wito bwana

Sent from my BlackBerry 9360 using JamiiForums
 
SIMU YA KICHINA

Kuna simu ya kichina inauzwa, ina radio, TV, blurtooth, infra red, torch, memory card, mwamvuli, AC, DVD, opener, visheti, ufuta, uchi wa mchele, kandambili, mtindi, chapati, chauro, sambusa za nyama, half cake, bagia, topaz, mawese, mbaazi, utumbo, pweza, egg chop, urojo.

Vipi unaitaka?
 
Zuzu alikuwa anaumwa. Akaamua kuweka picha ya Daktari kwenye ukuta wa chumba anacholala.
Akaulizwa na Mama yake: "kwa nini umeweka picha ya Daktari ukutani?"
Zuzu akamjibu: "Nimeambiwa maumivu yakizidi nimuone Daktari!"
 
nani mwenye makosa?

Mwanamke aliyelala na mumewe akawa anaota, ghafla akapiga makelele, "jifiche mume wangu kaja", au mumewe aliyesikia hivyo akanyakua nguo na kukimbia akidhani amelala na mke wa mtu? Nahitaji mawazo yako.
please read my signature
 
Jamaa mmoja alienda kuomba kazi ya ulinzi

Bosi: Umesoma?
Jamaa: Ndio!
Bosi: Unajua kuongea kiingereza?
Jamaa: Kwani wanaokuja kuiba ni WAZUNGU?

Bosi hoi

hahahaaaaaaaaa!
 

safi sana MC
 
Kafanana na zuzu mmoja kila kitu jaman majanga!

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
teh teh teeh
 
Mbavu zangu miyeeeeeeeeeeeee!:israel:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…