Ntakupa kwa 34,000/= kwasababu mimi sijapewa bure, niko nafunga mzigo wa dukani.
Zipo kaka ila zinakua sio portable tena, zinaongezeka ukubwa kidogo na price pia. Wataka kitu gani josiah?!
Habari wakuu,
Leo kuna mali mpya, kutokana na smartphone kuishiwa charge haraka mkombozi kapatikana nae ni Power Bank yenye 5600 mAh inatunza umeme 72 hours. Mali ni mpya na box lake(unused).
Bei: tshs 35,000/=
Nipe siku ya kesho ntakupa jibu kaka.
Little Angel zipo pia za 2600mAh utanipa 20,000/=
umenfurafisha njia ya bus afu shipping cost tena ila ni nzuri tutafanya biashara
Pitia mzigo wako huo kesho LEO TUPO HAPA