kalendi
JF-Expert Member
- Mar 17, 2012
- 1,361
- 605
Jitahidini na huku Dodoma kuweka wakala.
Sawa kaka, kuna za 12000mAh kali sana, tukielewana price nakuchukulia.
kweli wahindi wanauza 50,000Hapana kwa 25 hainilipi boss, hiyo bei nimetoa hapo ni reasonable sana compared na bei za wahindi mjini.
Josiah nimezunguka sana huku pia hizi Lumia 1320 bado expensive sana. Ni kama 1.5 sijui bei ya TZ ni kiasi gani
Unatumia simu gani?! Kama unatumia iphone naweza kuletea ya kuvalisha kama cover. View attachment 132887View attachment 132888
Unatumia simu gani?! Kama unatumia iphone naweza kuletea ya kuvalisha kama cover. View attachment 132887View attachment 132888
no ya simu mkuu ili nkucheki hewaniHabari wakuu,
Leo kuna mali mpya, kutokana na smartphone kuishiwa charge haraka mkombozi kapatikana nae ni Power Bank yenye 5600 mAh inatunza umeme 72 hours. Mali ni mpya na box lake(unused).
Bei: tshs 35,000/=