Smartphones Power Bank for only tshs 35,000/=

Bado sijaelewa ndugu icho kifaa ndio badala ya charg ama?
Yaani ukiwa unatumia Iyo power bank masuala ya charg hii ya kawaida tuliyozoea ndio tunaachana nayo kabisa ama!!
Mwenye uelewa anifafanulie
 
Nimekufafanulia kwa PM Howty Lady.
 
Habari wakuu,
Leo kuna mali mpya, kutokana na smartphone kuishiwa charge haraka mkombozi kapatikana nae ni Power Bank yenye 5600 mAh inatunza umeme 72 hours. Mali ni mpya na box lake(unused).

Bei: tshs 35,000/=

nahitaji moja. uko wapi?
 
agizeni kitu puku ndo power bank that is trending right now, halafu on top of that imetengenezwa na mtanzania so utakuwa una'support kazi ya nyumbani
 
Attachments

  • 1390027114184.jpg
    1390027114184.jpg
    36.7 KB · Views: 189
agizeni kitu puku ndo power bank that is trending right now, halafu on top of that imetengenezwa na mtanzania so utakuwa una'support kazi ya nyumbani

Sijakuelewa mkuu hebu eweke vizuri.
 
ntakutafuta baada ya J4, ila nahitaji kubwa zaidi kama yenye 12000mAh au 20000mAh sijui itakuwa sh ngapi?
 
Sijakuelewa mkuu hebu eweke vizuri.

ni phone charger ambayo iko portable kutembea nayo so zipo brand tofauti tofauti mojawapo nii hii iliyofanyiwa tangazo kwenye thread

Nyingne ni hii Puku ambayo imetengenezwa na mtanzania. Watu maarufu wengi hapa Tanzania wameanza kuagiza.

Cheki hapa chini Mustaffa Hassanali akiitumia.
 
Attachments

  • 1390034872890.jpg
    1390034872890.jpg
    50.3 KB · Views: 117
ni phone charger ambayo iko portable kutembea nayo so zipo brand tofauti tofauti mojawapo nii hii iliyofanyiwa tangazo kwenye thread

Nyingne ni hii Puku ambayo imetengenezwa na mtanzania. Watu maarufu wengi hapa Tanzania wameanza kuagiza.

Cheki hapa chini Mustaffa Hassanali akiitumia.

Nimekuelewa mkuu. Lakini kwanini huku mikoani hamleti maana adroid mpaka mikoani sasa.
 
Back
Top Bottom