Smartphones Power Bank for only tshs 35,000/=

Smartphones Power Bank for only tshs 35,000/=

baraka607

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2010
Posts
844
Reaction score
168
Habari wakuu,
Leo kuna mali mpya, kutokana na smartphone kuishiwa charge haraka mkombozi kapatikana nae ni Power Bank yenye 5600 mAh inatunza umeme 72 hours. Mali ni mpya na box lake(unused).

Bei: tshs 35,000/=
 
vp una haraka sana? toa details vizur, upo wap? mawasiliano etc
 
Ina ukubwa gani ? dimensions i mean .. weka picha nione kama inabebeka na brand name pia usisahau
 
Habari wakuu,
Leo kuna mali mpya, kutokana na smartphone kuishiwa charge haraka mkombozi kapatikana nae ni Power Bank yenye 5600 mAh inatunza umeme 72 hours. Mali ni mpya na box lake(unused).

Bei: tshs 35,000/=

Mkuu tunasubiri hayo maelezo kuhusu hiyo kitu!
 
Aina gani hipo compartible na aina zote za smart phones?
 
naiweka kwenye simu au ni external?
 
Habari wakuu,
Leo kuna mali mpya, kutokana na smartphone kuishiwa charge haraka mkombozi kapatikana nae ni Power Bank yenye 5600 mAh inatunza umeme 72 hours. Mali ni mpya na box lake(unused).

Bei: tshs 35,000/=

Ni bland gan, ni pm nikupe 25,000 kama itakuwa known bland.
 
ImageUploadedByJamiiForums1389954522.582264.jpg ImageUploadedByJamiiForums1389954566.380558.jpg ImageUploadedByJamiiForums1389954589.284775.jpg ImageUploadedByJamiiForums1389954627.918942.jpg

1. Package inakua na six Pin kwa different mobile phones na usb moja kwaajili ya kuunganisha hizo pin.
2. Inauwezo wa kucharge aina zote za simu, ipod, games player na mp3/mp4 na inatunza charge kwa masaa 72. Uwezo wake ni 5600mAh
3. Zinapatikana ofisini kinondoni studio na utaweza kuletewa sehemu ulipo kama ni maeneo ya mjini.
4. Simu yangu ni 0655003510 lakini kwa sasa sipatikan kwasababu niko nje ya nchi kufunga mzigo.
5. Unaweza kuni-Pm kama uko interested na hii bidhaa. Au kama una maswali zaidi pia tuwasiliane au comment.
 
Kwa kufupisha ni kwamba hii Power Bank inacharge simu zote kuanzia smartphones hadi nokia torch. Na pin zote included kwenye package
 
Back
Top Bottom