coin collector
Senior Member
- Jan 27, 2023
- 123
- 116
Inaonekana ukitumia iphone huwa kam inamfanya mtu anakuwa mwehu ajielewi kabisa hata panap ukweliNasikitika kuona namuelekeza kijana asiyejua jua chochote [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Inaonekana ukitumia iphone huwa kam inamfanya mtu anakuwa mwehu ajielewi kabisa hata panap ukweliNasikitika kuona namuelekeza kijana asiyejua jua chochote [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Simu yako inaweza kurun max settings [emoji1787][emoji1787] kijana unahangaika na test za temple run mkuuSasa hilo gemu nani asielijua au shida nimekuambia angalia perfomance overall shida iko wapi mzee[emoji1787]
Natumia Samsung kijana ila ukweli lazima usemweInaonekana ukitumia iphone huwa kam inamfanya mtu anakuwa mwehu ajielewi kabisa hata panap ukweli
Huo sio ukwel ila ninachoona unasumbuliwa na kasumba ila pole sana kwasabb ujui unatumia kitu kilicho bora sana ila katik hali ya mazoea na hujui kam ni kitu bora
Kwenye gaming Qualcomm Snapdragon 8 Gen 2 ipo vizuri kuliko Apple A16 Bionic.Acha hizo games za watoto hata kwenye tecno utayakuta
Install game la genshin impact kwenye simu yako utaelewa nini namaanisha..
Samsung ni nzuri display,mwonekano na features nyingi za kitoto kitotoHuo sio ukwel ila ninachoona unasumbuliwa na kasumba ila pole sana kwasabb ujui unatumia kitu kilicho bora sana ila katik hali ya mazoea na hujui kam ni kitu bora
Asus ni gaming phone mkuu tuitoe kwenye hii ligiKwenye gaming Qualcomm Snapdragon 8 Gen 2 ipo vizuri kuliko Apple A16 Bionic.
Hii Apple A16 Bionic ni A15 ileile lakini wameifanyia improvement chache tu kwenye memory speed, manufacturing process na kusaidia kupunguza ulaji wa chaji kwa asilimia 15
Kwenye 3D Mark Wildlife Performance, graphics test ya Qualcomm Snapdragon 8 Gen 2 iliweza kuonesha kuwa ipo vizuri kwa asilimia 25 zaidi ya Apple A16 Bionic. 3D Mark test kwa Snapdragon 8 Gen 2 iliobtain frame rate ya 73fps ambayo ni kubwa kuliko 58fps ya Apple A16 Bionic.
GPU ya Adreno 740 kwenye Snapdragon 8 Gen 2 pia ni stronger kuliko Apple GPU ya kwenye Bionic A16, maana yake kwenye Snapdragon 8 Gen 2 utapata high graphics kwenye kucheza magemu na wakati wa kuangalia video pia. Mfano mzuri iPhone 14 Pro Max inaweza kuplay video katika maximum resolution ya 4K@60fps, wakati Xiaomi 13 Pro na Samsung Galaxy S23 Ultra zinaplay video katika maximum resolution hadi 8K@60fps.
Hata gsmarena anasema katika flagship walizotest hawajaona simu inayocheza games smooth kama Xiaomi 13 Pro, na inakaribiwa kidogo tu na Samsung Galaxy S23 Ultra, kaangalie video ya gsmarena kwenye Xiaomi 13 Pro review, utasikia akiyasema maneno haya.
Kiufupi kwenye gaming Apple ana safari ndefu kidogo kushindana na Android.
Pia unasema hakuna simu inayocheza games kama iPhone? Ingia Google usearch Asus ROG phone 6 Pro uone.
[emoji3][emoji3][emoji3] hii Samsung dex hua unatumia kifanyania nini cha muhimu?Feature ya Samsung DeX pekee ninaipa credit kuliko features zote za iOS
Ni ngumu sana developers ku optimize games zao kwa kila Ui za android narudia tena ni ngumu sana tena sanaKwenye gaming Qualcomm Snapdragon 8 Gen 2 ipo vizuri kuliko Apple A16 Bionic.
Hii Apple A16 Bionic ni A15 ileile lakini wameifanyia improvement chache tu kwenye memory speed, manufacturing process na kusaidia kupunguza ulaji wa chaji kwa asilimia 15
Kwenye 3D Mark Wildlife Performance, graphics test ya Qualcomm Snapdragon 8 Gen 2 iliweza kuonesha kuwa ipo vizuri kwa asilimia 25 zaidi ya Apple A16 Bionic. 3D Mark test kwa Snapdragon 8 Gen 2 iliobtain frame rate ya 73fps ambayo ni kubwa kuliko 58fps ya Apple A16 Bionic.
GPU ya Adreno 740 kwenye Snapdragon 8 Gen 2 pia ni stronger kuliko Apple GPU ya kwenye Bionic A16, maana yake kwenye Snapdragon 8 Gen 2 utapata high graphics kwenye kucheza magemu na wakati wa kuangalia video pia. Mfano mzuri iPhone 14 Pro Max inaweza kuplay video katika maximum resolution ya 4K@60fps, wakati Xiaomi 13 Pro na Samsung Galaxy S23 Ultra zinaplay video katika maximum resolution hadi 8K@60fps.
Hata gsmarena anasema katika flagship walizotest hawajaona simu inayocheza games smooth kama Xiaomi 13 Pro, na inakaribiwa kidogo tu na Samsung Galaxy S23 Ultra, kaangalie video ya gsmarena kwenye Xiaomi 13 Pro review, utasikia akiyasema maneno haya.
Kiufupi kwenye gaming Apple ana safari ndefu kidogo kushindana na Android.
Pia unasema hakuna simu inayocheza games kama iPhone? Ingia Google usearch Asus ROG phone 6 Pro uone.
Unaconnect simu yako na kompyuta then zile apps zako zinatokea kwenye hiyo kompyuta au laptop kama hivi. Unaweza kufungua apps zako zote za kwenye simu kupitia kompyuta yako[emoji3][emoji3][emoji3] hii Samsung dex hua unatumia kifanyania nini cha muhimu?
Hakuna haja ya kuoptimize kwa Kila UI, Game likiwa optimized for Android inatosha, sidhani kama UI zina mchango mkubwa katika kutofautisha gaming performance kutoka kwa simu moja ya Android hadi nyingineNi ngumu sana developers ku optimize games zao kwa kila Ui za android narudia tena ni ngumu sana tena sana
Games za android hua unazicheza lakini?Hakuna haja ya kuoptimize kwa Kila UI, Game likiwa optimized for Android inatosha, sidhani kama UI zina mchango mkubwa katika kutofautisha gaming performance kutoka kwa simu moja ya Android hadi nyingine
Mimi sio gamer na gaming sio kipaumbele changuGames za android hua unazicheza lakini?
Mimi sio gamer pia ndio maan huwa sijal sana mambo ya processor ila huwa napenda nipate tu perfomance nzur ya kufanya mambo yang ya kawaida mm naoenda sana kioo kizuri software nzurMimi sio gamer na gaming sio kipaumbele changu
Ila benchmarks zinaonesha 8 Gen 2 ipo vizuri zaidi kwenye gaming kuliko Apple A16 Bionic
Kwenye optimisation huko sijajua bado mpaka nifuatilie kiundani au niconsult experts
Mimi sio gamer pia ndio maan huwa sijal sana mambo ya processor ila huwa napenda nipate tu perfomance nzur ya kufanya mambo yang ya kawaida mm naoenda sana kioo kizuri software nzur
Zote nimetumia iphone sijaona maajabu...samsung nimewaelewaUshawahi tumia Android na iPhone?
Oppo hamna kitu pale, bora hata hao redmiNot today.
Plan yangu ni after Xiaomi then Samsung then Xiaomi then Samsung, nitaendelea hivyo.
Simu zote mbili nimezipenda kwa sababu moja, UI zao zina features nyingi.
Kwa sasa S23 Ultra ni nzuri kuliko Xiaomi 13 Pro, ni kwa sababu hiyo ya Xiaomi ni ya mwaka jana. Soon mwaka huu wataachia Xiaomi 13 Ultra, ambayo hii inaweza ikaizidi S23 Ultra uwezo kama mwaka Jana tu. I prefer Xiaomi to any other brand, second position ndio nimeiweka Samsung. Hizo iPhone ulizotaka kuziongelea sizipendi hata kidogo
Halafu wewe na Oppo iliishia vipi. Hujawahi kuziongelea tena