Jessica Simpson - I Wanna Love You Forever.
2011 , nikiwa eastern province, bhisho nikiwa na kipenzi changu Eshe, ule usiku tukiwa tunapata steenberg baridi huku kimwanga cha kufifia kwa mbali, kama kesho nasafiri kwenda Msumbiji kuendelea kusaka maisha, nikiwa nawaza safari huku akiniuliza mara nne nne utarudi kweli tena mimi kwa ujasiri najibu tutaonana, sikuwahi tena kumuona hadi 2013 napata taarifa kapigwa risasi nelson mandela bay, eshe alipenda sana nyimbo hiyo kupita kiasi, R.I.P eshe


, simu wanapiga watoto wa kishua tu toka Sinza, mbezi, Masaki, Obey, K'nyama, Kino