Slow jams - pini ipi ilikubamba

Slow jams - pini ipi ilikubamba

Something inside so strong
Labi Siffre
Huyu mwamba wimbo wake wameimba wengi sana
Natamani na sisi tungeuimba group
 
.... wanna leak you up and down till you say stop... Sikumbuki ni wimbo gani nakumbuka hivyo vimaneno
 
Dah uzi mtamu sana huu kwa sisi wadau wa 90s and early 2000s. Ghafla nmemkumbuka John Dilinga enzi hizo yuko 101.4 fm dah hatari. Good times are gone.
Natamani mdau mwenye access za hizi ngoma angekuwa anaziweka audio kuleta ladha ingawa zinapatikana mitandaoni ila kukiwa na link Hapa mtu unai pata fasta
 
Then you have know idea what slow jam means. Au umechanganya na ule wimbo wa 'Slow wine for me" wa R. Kelly.

Wewe hii ngoma unaijua kwanza, unasemaje sio slow jam?
The song is purely R n B,listen to the beat you will agree with me
 
Nyimbo za Celine Dion na West Life
Elton John - Sacrifice
John Mayer - Say
Richard Marx - Right Here Waiting
Jason Walker - Echo
Shane Filan - Beautiful In White
Lionel Richie - Stuck On You
Ron Pope - A Drop In The Ocean
Shayne Ward - Breathless
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom