Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 72,149
- 190,639
Jaheim - Put that woman firstJaheim_ just in case
Jaheim - Put that woman firstJaheim_ just in case
Tisha sanaJaheim - Put that woman first
Za 90s zitakuwa hazifiki 20 😁Zipo za kutosha tu...
90s labda mr paul na yeye sidhan kama zinafika hata nyimbo 5Banana,mr paul walitoa slow jams enzi hizo![]()
Michael BoltonKama kuna mkongwe humu aje tutembee na za 70's _ 80 hapo kwa wakina Madonna na George michael..
Yupo vizuriHuyu mwamb hajawah kuniangusha
Tamia- Stranger in my house
Emmanuel Nkulila - Pain in meHivi wabongo ndio hakuna slow jams kabisa duh
Sijawahi kuisikiliza hii nitaitafutaEmmanuel Nkulila - Pain in me
Nyimbo zilikuwa 🔥🔥🔥Kutokana na maoni ya wadau wengi hapa ni dhahiiri mid late 90 to early 2000 ndio miaka kulikuwa na rnb nzuri
90s baby 🔥🔥🔥🔥Watu wa 90s wote mlikua mnajua english
Hii beat 2pac alitambaa nayo kwenye i aint mad at ya 🔥🔥🔥
Atakuwa ameifanyia sampling hii nyimbo ni ya jamaa flan hiv na mdada majina yao yamenitokaNi wimbo mmoja umetulia !
View attachment 2627260