Slow jams - pini ipi ilikubamba

Slow jams - pini ipi ilikubamba

Upate mtu akuimbie sasa, huwa mnahisi mnaelea...! Ila nyimbo zote toka kwa hii album " All that I am" zilikuwa za moto mno hakuna wimbo wa ku forward,.
Acha kabisa. Nililetewa album hii na brother yangu enzi hizo CD unasikiliza Kwenye ile player inaitwa "walkman".

Acha kabisa aisee.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom