Slow jams - pini ipi ilikubamba

Slow jams - pini ipi ilikubamba

If I Was Your Man - Joe Thomas

Mm-mm
Yeah, yeah, yeah, yeah
Oh, oh
Na-na-na-na, na-na-na-na
Oh, na-na-na-na
If I was your man, girl

Girl I'm so tired of games, I just wanna settle down
I swear to you, I've changed
Baby why you buggin' now?
I know that I put you through hell
You deserve to be with someone else
But I gotta be straight up (straight up)
Girl I just wanna kiss and make up (make up)
Oh, we've been through a lot of things
How do you throw that away? (Oh)
You were the heart of me
Can't believe you let it break
Tell me why you won't let him go?
You can say what you want but I know
Baby no more lies (no lies)
I'ma keep it real this time

Help me understand, what I'm saying ain't gettin' through
Why I can't be your man when I'd give up the world for you?
Girl I'll do the best I can
Love you forever that's what I'll do
If I was your man
If I was your man (girl)
If I was your man

Got rid of everything that I knew was hurting you
My hustle in the streets gave that up for you too
Don't want nothing else in the way
I just wanna make sure that you'll stay
Baby no more lies (more lies)
I'ma do it right this time

Help me understand what I'm saying ain't gettin' through
Why I can't be your man when I'd give up the world for you?
Girl I'll do the best I can
Love you forever that's what I'll do
If I was your man (if I was your man)
If I was your man (if I was your man)

Can't live without you anymore
Baby I know that you're worth fighting for (fighting for)
They say that you're still in love with me
In my arms is where you need to be
I can't live without you anymore
Baby I know that you're worth fighting for (fighting for)
They say that you're still in love with me
In my arms is where you need to be

Oh-oh
Na-na-na-na, na-na-na-na, oh, yeah
Na-na-na-na
If I was your man, if I was your man

Help me understand what I'm saying ain't gettin' through
Why I can't be your man when I'd give up the world for you?
Girl I'll do the best I can
Love you forever that's what I'll do
If I was your man (if I was your man)
If I was your man (if I was your man)

Help me understand what I'm saying ain't gettin' through
Why I can't be your man when I'd give up the world for you?
Girl I'll do the best I can
Love you forever that's what I'll do
If I was your man (if I was your man)
If I was your man (I was your man)
 
Joe thomas good girls namsikiliza hapa
Acha kabisa. Hiyo ngoma ujumbe wake watu huwa hawauelewi ila ina bonge la ujumbe. Kuna siku nilikuwa natazama interview yake ndipo nikaelewa maana alielezea story nyuma ya utunzi wa ule wimbo.

Joe Thomas alisema enzi akiwa high school na chuo alikuwa akichezea sana vibuti maana mademu pisi kali wengi walikuwa wanakataa average guys wanataka kudate na mabishoo, wale vijana mahb, wale wenye majina, au washkaji wanaocheza kikapu wenye possibility ya kupata scholarships na kwenda kucheza big leagues kama NBA.

So ndio life ikaendelea hadi maisha ya shule yameisha wameingia kitaa kuhustle na wengine kama yeye wakatoboa katika tasnia ya muziki. Sasa wale mademu wa shule na chuo now wameshatumika sana. Wanaanza kuleta mazoea upya na safari hii wanakuwa kama wanatumia ushawishi kutaka kuwin back mahusiano.

Sasa ubunifu niliopenda katika hii project ya wimbo wa "Good Girls" ni kwamba katika wimbo ukisikiliza mashairi anakuwa anaongelea as if bado yupo shule au chuo yaani kama bado analalamika na kuhoji;

"why are all the good girls taken every time, and why do i keep falling for someone else each time, everytime i say hello then they say Good bye, so why are all the good girls, taken everytime"

Halafu kuna kale kaguitar kanamsaidia kulalamika in the background kwenye beat. Aaaaaah acha kabisa watu walikuwa wanatulia aisee ndio maana ile miziki ukisikiliza inakuchukua akili unakuwa sayari nyingine.

Sasa ukitazama mashairi katika wimbo ni analalamika ila video ya wimbo utaona ujumbe unaoonyeshwa ni kinyume na mashairi ya wimbo,katika video mwamba yupo vizuri kiuchumi ana mpunga mrefu,ukitazama unaona yupo kwenye ndinga ya bei sana anatembea zake kitaa anakutana na wadada waliokuwa wanasumbua enzi hizo saa hii wapo kitaa ila life ya kawaida ingawa bado ni pisi. Wengine anawaona sokoni, wengine kwenye Taxi ,wengine wanatembea kwa miguu. Anawakata jicho tu anawakaushia maana wao si walimkataa akiwa janki na hana kitu wala jina sasa now kayapatia wanamletea shobo yeye anawatazama tu yupo busy na maisha yake ya kishua ndio ujumbe uliopo katika ile video ukitazama na kusikiliza.

Ila namkubali sana mwamba, anajua kutunga, anajua kuimba, shooting zake yaani video anatuliza kichwa na madirector wanatoa kazi kali sana aiseee. Huyu mwamba hakuna mtu anacheza level zake. Joe Thomas ni Mkali wa R&B asiyependa sifa. Hata maisha yake ni mkimya sana hapendi onyesha anaishi vipi nje ya usanii ana date na nani. Yupo vema sana.
 
Nilichogundua.. ni kwamba watu wengi wanapenda nyimbo za Male artists kitu ambacho kwa miaka hiyo Male artist waliwika sana kwenye makundi yao..

Ila for me Slow jamz kali top 10 kuanzia 1_7 ni female artists..

Wanajua wanachokifanya.
Mmmmmmhmn nadhani zipo za female artists nzuri tu mbona. Mfano akina Brandy Norwood, Monica, Tamia, Deborah Cox, SWV, Changing Faces.
 
Acha kabisa. Hiyo ngoma ujumbe wake watu huwa hawauelewi ila ina bonge la ujumbe. Kuna siku nilikuwa natazama interview yake ndipo nikaelewa maana alielezea story nyuma ya utunzi wa ule wimbo.

Joe Thomas alisema enzi akiwa high school na chuo alikuwa akichezea sana vibuti maana mademu pisi kali wengi walikuwa wanakataa average guys wanataka kudate na mabishoo, wale vijana mahb, wale wenye majina, au washkaji wanaocheza kikapu wenye possibility ya kupata scholarships na kwenda kucheza big leagues kama NBA.

So ndio life ikaendelea hadi maisha ya shule yameisha wameingia kitaa kuhustle na wengine kama yeye wakatoboa katika tasnia ya muziki. Sasa wale mademu wa shule na chuo now wameshatumika sana. Wanaanza kuleta mazoea upya na safari hii wanakuwa kama wanatumia ushawishi kutaka kuwin back mahusiano.

Sasa ubunifu niliopenda katika hii project ya wimbo wa "Good Girls" ni kwamba katika wimbo ukisikiliza mashairi anakuwa anaongelea as if bado yupo shule au chuo yaani kama bado analalamika na kuhoji;

"why are all the good girls taken every time, and why do i keep falling for someone else each time, everytime i say hello then they say Good bye, so why are all the good girls, taken everytime"

Halafu kuna kale kaguitar kanamsaidia kulalamika in the background kwenye beat. Aaaaaah acha kabisa watu walikuwa wanatulia aisee ndio maana ile miziki ukisikiliza inakuchukua akili unakuwa sayari nyingine.

Sasa ukitazama mashairi katika wimbo ni analalamika ila video ya wimbo utaona ujumbe unaoonyeshwa ni kinyume na mashairi ya wimbo,katika video mwamba yupo vizuri kiuchumi ana mpunga mrefu,ukitazama unaona yupo kwenye ndinga ya bei sana anatembea zake kitaa anakutana na wadada waliokuwa wanasumbua enzi hizo saa hii wapo kitaa ila life ya kawaida ingawa bado ni pisi. Wengine anawaona sokoni, wengine kwenye Taxi ,wengine wanatembea kwa miguu. Anawakata jicho tu anawakaushia maana wao si walimkataa akiwa janki na hana kitu wala jina sasa now kayapatia wanamletea shobo yeye anawatazama tu yupo busy na maisha yake ya kishua ndio ujumbe uliopo katika ile video ukitazama na kusikiliza.

Ila namkubali sana mwamba, anajua kutunga, anajua kuimba, shooting zake yaani video anatuliza kichwa na madirector wanatoa kazi kali sana aiseee. Huyu mwamba hakuna mtu anacheza level zake. Joe Thomas ni Mkali wa R&B asiyependa sifa. Hata maisha yake ni mkimya sana hapendi onyesha anaishi vipi nje ya usanii ana date na nani. Yupo vema sana.
Umemaliza kila kitu bruh
Na jamaa nje ya mziki sidhani kama ana skendo zozote inaonekana ni mtu poa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom