The druid
JF-Expert Member
- Jun 2, 2020
- 506
- 629
Yule bi dada aliyakubali maisha maana wanambomolea nyumba yeye anaimba zake kavaa sweater anasepa zake mdogo mdogo.Thank you - Dido
Ha haaa may be... Huwezi juaUtaniuwa leo ujue. Kuwa na huruma. Hizi nyimbo mbona kama tulikuwa tunaishi nyumba moja, are you my Deja Vu?
Joe Thomas - can't turn back the yearsI wish it would rain down - Phil Collins
Una kumbukumbu sana weweYule bi dada aliyakubali maisha maana wanambomolea nyumba yeye anaimba zake kavaa sweater anasepa zake mdogo mdogo.
Soul 4Real - If you want itSoul for real - Candy rain
Brian McKnight - Last danceBrian McKnight - Anytime
Ndiyo inavyopaswa kuwa kwenye maisha yetu haya😀Kwenye hii ngoma jamaa amekubali demu wake aliwe tu haina noma mradi asijue.
Someone - SWV ft P. DiddySWV-Right Here
Roxxete alitisha sana aiseee!!
All my pride is all I haveAll I have - Jennifer Lopez, LL Cool J
View attachment 2627074
Tamia - officially Missing youTamia- Stranger in my house
My niece anaupenda sana huu wimbo.
Walikuwa wanareflect true and real life experiences ndio maana nyimbo zao zilikuwa na tungo tata yet entertaining. Hawa wa siku hizi wanatumia hallucinations and delusions kutengeneza mashairi. Na huko studio wanavuta bangi kabla ya kurekodi.Hivi ndo vipaji sasa vya muziki na sio hawa , kutoka verse ya kwanza mpaka ya mwisho ni kusifia mapenzi tuu na ngono
Then you have know idea what slow jam means. Au umechanganya na ule wimbo wa 'Slow wine for me" wa R. Kelly.This is not a slow jam
He has no ideaOkay
Poa poa ngoja niisikilizeHalafu kasikilize na hii then tufanye comparison nani aliuwa zaidi katika hii ngoma. "Missing you" - Joe Thomas. Alifanya cover ya hiyo nyimbo ya case.
Hii nyimbo dah .. .acha tu nisiongee. Ila dah acha tuAlways on my Mind - Tevin Campbell
View attachment 2627091
Sweet ragga anatuletea kwenye uzi wa r&b.Hii ni slow jam?